Hatimae Uzi wa Kupeana Likes wawapoteza Makapuku Forum

Hatimae Uzi wa Kupeana Likes wawapoteza Makapuku Forum

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Baada ya muda mrefu wa kuwa kileleni kama uzi wenye replies nyingi hatimae 'Makapuku Forum' wafutwa kwenye ramani na uzi ulioshika kasi siku za karibuni 'Uzi wa kupeana Likes'.

Hongereni sana, piteni hapa mnipe na mimi likes.
 
Tazama wale wana wa kapuku waliokuwa wakinywa na kulewa na likes
Dhoruba kubwa la uzi wa kupeana like ukawakumba na wote wameteketea mimi tu ndio niliobaki mimi kukuletea habari

Kiki 3:5
Na Jembekillo alipoona ubaguzi katika makapuku forum akaenda zake ng'ambo na kuanzisha uzi maalumu wa kupeana likes
[@Kichwa Kichafu 2:2-5]
 
Mie nimekumisso pia Emmy, mzima weye? Za weekend na jioni?

Nilishindwa tangu mwanzo mana naona kama kuchanganyikiwa vile.

Baadae ukienda huko wasalimie BAK na Numbisa waambie nimewamiss mana lile ndio chimbo lao hata kutembea hawatembei.
 
Tazama wale wana wa kapuku waliokuwa wakinywa na kulewa na likes
Dhoruba kubwa la uzi wa kupeana like ukawakumba na wote wameteketea mimi tu ndio niliobaki mimi kukuletea habari

Kiki 3:5
Hhaha ,pole sana kwa kusunurika mkuu 🙄

sent by OdryDrogen 🙂
 
Back
Top Bottom