Duu kiongozi unazurura mnoMie nimekumisso pia Emmy, mzima weye? Za weekend na jioni?
Nilishindwa tangu mwanzo mana naona kama kuchanganyikiwa vile.
Baadae ukienda huko wasalimie BAK na Numbisa waambie nimewamiss mana lile ndio chimbo lao hata kutembea hawatembei.
Hata wewe ndio maana umefika huku
Hivi kujitoe usipokee alart nifanyeje maana zinanikelaBaada ya muda mrefu wa kuwa kileleni kama uzi wenye replies nyingi hatimae 'Makapuku Forum' wafutwa kwenye ramani na uzi ulioshika kasi siku za karibuni 'Uzi wa kupeana Likes'.
Hongereni sana, piteni hapa mnipe na mimi likes.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Mie nimekumisso pia Emmy, mzima weye? Za weekend na jioni?
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Chimbo lipi hilo mrembo Emmy!? Mie niko busy humu kumwaga likes za kufa mtu. 🙂🙂🙂
Nenda kwenye setting, kipengele cha notification futa kale katick([emoji818] )
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hongera zako.
Labda nimsaidie dada yangu.[emoji1431][emoji1431][emoji106][emoji106]Mwenyezi Mungu ashukuriwe sana, mie pia niko bomba sana nawaangalia Chelsea wakinyanyaswa kwao. Hujajibu lakini kuhusu chimbo, ni chimbo lipi Emmy!?
Usimbebeshe mzigo dada yangu bana, utalipa wewe
Labda nimsaidie dada yangu.
Chimbo ni sehemu unayoweza kujificha
Ndio maana. [emoji87] [emoji87] [emoji87][emoji1431][emoji1431][emoji106][emoji106]Mwenyezi Mungu ashukuriwe sana, mie pia niko bomba sana nawaangalia Chelsea wakinyanyaswa kwao. Hujajibu lakini kuhusu chimbo, ni chimbo lipi Emmy!?
Poa poa mkuu.Dada yako nilishamwambia akulipie akasema haina shida. Hanaga makuu huyo weye pata kilaji Mkuu.