Hatimae Uzi wa Kupeana Likes wawapoteza Makapuku Forum

Hatimae Uzi wa Kupeana Likes wawapoteza Makapuku Forum

Chimbo lipi hilo mrembo Emmy!? Mie niko busy humu kumwaga likes za kufa mtu. 🙂🙂🙂

Nilishindwa tangu mwanzo mana naona kama kuchanganyikiwa vile.

Baadae ukienda huko wasalimie BAK na Numbisa waambie nimewamiss mana lile ndio chimbo lao hata kutembea hawatembei.
 
[emoji1431][emoji1431][emoji106][emoji106]Mwenyezi Mungu ashukuriwe sana, mie pia niko bomba sana nawaangalia Chelsea wakinyanyaswa kwao. Hujajibu lakini kuhusu chimbo, ni chimbo lipi Emmy!?
Labda nimsaidie dada yangu.

Chimbo ni sehemu unayoweza kujificha
 
[emoji1431][emoji1431][emoji106][emoji106]Mwenyezi Mungu ashukuriwe sana, mie pia niko bomba sana nawaangalia Chelsea wakinyanyaswa kwao. Hujajibu lakini kuhusu chimbo, ni chimbo lipi Emmy!?
Ndio maana. [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Back
Top Bottom