Jana usiku kutokana na mvua kubwa kunyesha ilibidi Diamond platnumz atangaze kusitisha show na kuahidi kurudiwa siku ya leo saa kumi jioni , Diamond amesema kuwa Show itakuwa ni buree
Wachawi wameloga jana ili leo waingie bure, sumbawanga sio mchezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]
Nako kuna walozi?Bado zanzibar
Wafuga majiniNako kuna walozi?
OohWafuga majini