Hatimae wachawi wakwamisha show ya Wasafi Sumbawanga, Kurudiwa bure leo

Hatimae wachawi wakwamisha show ya Wasafi Sumbawanga, Kurudiwa bure leo

Jana usiku kutokana na mvua kubwa kunyesha ilibidi Diamond platnumz atangaze kusitisha show na kuahidi kurudiwa siku ya leo saa kumi jioni , Diamond amesema kuwa Show itakuwa ni buree

Wachawi wameloga jana ili leo waingie bure, sumbawanga sio mchezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]
Leo wameamua kumvunja kiuno kabisa
 
Back
Top Bottom