BTW Africans are still undergoing organic evolution to become complete human beings.
Totally wrong, ni mmoja kati ya wanaanga waliokaa anga za mbali kwa muda mrefu zaidi so ana uzoefu wa kutosha na hiyo kazi.Huyo demu anaenda kwa sababu maalumu na hana snachojua.
Hivi watu mnajuanaje jinsia zenu humu jukwaani? Kwa kuangalia avatar au mwandiko?njoo gheto kwangu mama utawaona wanaondoka na wakirudi live yani itakuwa unyama sana..😁
Wachina hawajawahi kwenda mwezini wala warusi.Kwahio tunakubaliana kua Hawa watu hawakwenda mwezini kipindi kile ilikua danganya toto walienda sehem flan jangwani wakapiga picha na kutengeneza video za uongo, mana huwez niambia kua eti baada ya miaka 50 Ndio wanarudi tena. ..watu walioenda mwezini ni warusi na wachina tu.
Usidanganye watu. Huyo Armstrong hajawahi kufika mwezini. Zile zilikua ni propaganda tu za WAMAREKANI kama kawaida yao, kutaka kuonekana kua wao ndio wa KWANZA ila ukweli hata kama utachukua miaka 100 utakuja kujulikana na umejulikana...baada ya miaka 50 tena sjui 60, ndio musk ndio anafika mwezini , ndio Hawa makuma wengine Wa nasa ndio wanaenda sasahivi . Tusidanganyane bwana kila kitu kwa Sasa Kiko wazi na yaliyofanyika huko nyuma KIMAGUMASHI yanajulikana wazi SasaWachina hawajawahi kwenda mwezini wala warusi.
Yes tukubaliane tulipigwa changa la macho ila historia itabaki hivyo kuwa neil armstrong ndio binadamu wa kwanza kukanyaga mwezi, hata hawa wa artemis II hawatotua mwezini bali wataukaribia kwezi na kuutafiti kwa nje.
Kama hii itafanikiwa basi 2027 binadamu ataenda tena mwezini na hii itakuwa ni landing kabisa na kama hiyo itafanikiwa basi 2028 binadamu atarudi tena mwezini kufanya ujenzi wa kituo kabisa.
Hii ni safari ndefu kwa miaka ya hivi karibuni kufanywa na binadamu, zaid ya miles 400,000 yoka kwenye uso wa Dunia si mchezo.
Kongole kwa nasa na team ya space X
Hivi tuna waafrika wenye brain pawa za namna hii? Au za kuibia umma tu na hata kuiba kwenyewe ni kijinga tu kwa kulindwa na masystem yao!
Nasoma na kurudia hiyo process nakosa kujua uwezo wa akili ya hawa binadamu na kufikiria waafrika tunavyouana kama mbuzi wa kuchoma, tutafikia huu uwezo mwaka gani? Yesu akirudi? Probably kule firdaus tutakapopewa bikra 72 tukilala nazo kwa zamu? I don't know.
My dirty thinking though...
Mkuu umeenda mbali sana.Aisee its tremendous and inconceivable brain power brother za hivi viumbe aisee!
Nilitazama hilo dude linavyoruka live nikajikuta najisemea tu tulikuja humu duniani kuzalisha samadi tu chooni na kuongeza carbon ardhini kwa fossil fuels miaka maelfu mengine, endapo tu mafuta bado yatahitajika!
Tatizo la africa nadhani ni mfumo wa elimu ila sio ngozi nyeusi.
Mmoja kati ya hao wanaanga ni mweusi ila sio muafrika na hata mtu anaehusika moja kwa mbili kwenye utengenezaji wa hayo maroketi ni muafrika japo sio mweusi " Elon Musk"
Siku tukiweza kutofautisha kati ya siasa na elimu basi tunaweza kufanikiwa na kuwa na brain kama hizi.
Tufanye gunduzi kiwe kitu ambacho kinalipa zaidi na siasa iwe kwaajili ya kutumikia jamii tu na sio sehemu ya kutafuta kipato hapo tutatoboa.
Maprofesa wanaacha paper work nyuoni wanakimbilia siasa na sababu ni kwamba siasa inalipa kuliko hizo tafiti ambazo anafanya.
Mkuu,Usidanganye watu. Huyo Armstrong hajawahi kufika mwezini. Zile zilikua ni propaganda tu za WAMAREKANI kama kawaida yao, kutaka kuonekana kua wao ndio wa KWANZA ila ukweli hata kama utachukua miaka 100 utakuja kujulikana na umejulikana...baada ya miaka 50 tena sjui 60, ndio musk ndio anafika mwezini , ndio Hawa makuma wengine Wa nasa ndio wanaenda sasahivi . Tusidanganyane bwana kila kitu kwa Sasa Kiko wazi na yaliyofanyika huko nyuma KIMAGUMASHI yanajulikana wazi Sasa
Kwahiyo mkuu wewe unaona tatizo la waafrica ni rangi au kuna tatizo lingine?Mkuu unawajua black Americans? Wana access ya resources zote hizi lakini ukiwa kwao ukaona maisha wanayoishi utaamini leo hii wazungu wakihamishiwa Africa nchi zinaweza kuwa na maendeleo makubwa sana, ila ukiwahamishia weusi nchi zilizoendelea jinsi zilivyo zitakufa in no time na kuwa maskini upya! Tazama SA ya makaburu na ya ANC then Zimbabwe na settlers na ya weusi utajua namaanisha nini!
Kijana wa hovyo huyo mkuu keshwaza demu anaenda kutmbwa tu hakuna Cha zaidi anachowaza 🤣🤣 nchi imejaa vijna wa hovyo hii Njemba Soro.Hapo Kuna rubani mmoja, mkuu wa msafara mmoja ambaye hii ni safari yake ya pili kwenda anga za mbali na technicians wawili. Kwa kifupi hakuna asiejua chochote kwenye hiyo safari. Cv zao ni nzito
Kwahiyo mkuu wewe unaona tatizo la waafrica ni rangi au kuna tatizo lingine?
Tuna weusi wengi tu ila sio waafrica ambao ni mainjiania na hata huyo pilot wa artemis II ni mweusi, hata boeng CEO alishawahi kuwa mweusi,
Mimi nadhan tatizo sio weusi bali tatizo ni mfumo wa elimu wa africa.
Africa mtawala ndio mwenye akili na msomi anabagazwa na mpuuzi kwa kushika kwake mtutu wa bunduki
Kijana wa hovyo huyo mkuu keshwaza demu anaenda kutmbwa tu hakuna Cha zaidi anachowaza 🤣🤣 nchi imejaa vijna wa hovyo hii Njemba Soro.
Miaka ya baadae wenzetu wataanza kwenda kuishi sayari za mbali, sisi Afrika tutakuwa na ndoto za kwenda kuishi huko kama Leo hii tulivyo na ndoto za kwenda kuishi ulaya.Hivi tuna waafrika wenye brain pawa za namna hii? Au za kuibia umma tu na hata kuiba kwenyewe ni kijinga tu kwa kulindwa na masystem yao!
Nasoma na kurudia hiyo process nakosa kujua uwezo wa akili ya hawa binadamu na kufikiria waafrika tunavyouana kama mbuzi wa kuchoma, tutafikia huu uwezo mwaka gani? Yesu akirudi? Probably kule firdaus tutakapopewa bikra 72 tukilala nazo kwa zamu? I don't know.
My dirty thinking though...
Wewe na mwajuma ndala ndefu tushawazoea.Huu nao ni ushuzi kama ushuzi mwingine wa nyuma anyway tusha zoea 😎
Sio rangi, brain pawa mkuu na maamuzi ya nini tukipe kipaumbele, hawa weusi watawala wengi tu wamepata elimu nzuri sana lakini angalia maamuzi yao kuhusu matumizi ya resources chache zilizopo! Yani kiongozi mweusi ata awe mapHd lkn akili yake ni ujinga uleule tu kama mie na fomfoo yangu!
Wana maGPA makubwa sana lakini angalia output ya akili zao, wengine wamesomeshwa kwa gharama kubwa sana lakini return yao ni biashara kichaa. Wanajiita na first class na madoktori mabingwa lakini hata madaraja tunajengewa na wachina, yaliyojengwa na wajerumani miaka 100+ iliyopita yapo hayana hata crack lakini ya mweusi yaliyojengwa kipindi cha jiwe yanasombwa na mvua na kurushwa kuleee! Sadly
Mwafrika anafikiria sio nje ya tumbo na sex! Black Americans wanafikiria kuzaa ili wapate pesa za welfare na kulaumu utumwa hadi leo hii pamoja na serikali kutoa elimu bure kabisa chini ya chuo, mascolarship kibao kwa wanaoexcell! Wengine wanawaza kuwa basketballers au rappers tu na kuuza drugs hamna zaidi
Sisemi wote ila majority, kama hao uliowataja wanakuwa diluted na namba ya wanaoharibu! Mweusi mpe bunduki ataanza kuua ndugu zake, mpe pesa ataongeza wanawake kila mtaa na kila mfanyakazi ndani ya ofisi lazima atakula, kama mdau mmoja hapa alivyosema huyo astronaut mwanamke kawekwa tu, yani mwafrika akiona sketi tu anafikiria ngono, hawajui huyu mama ni among chosen globally kubeba mission ya kihistoria kama hii, credibility ya mwanamke mweusi ni ngumu kuiona coz hatuwaoni nje ya sex
My 50 cents..
Mkuu kama mpaka kwa Dunia hii ya Innovation bado tutaachwa basi hatustahili kuishi kwenye huu ulimwengu.Miaka ya baadae wenzetu wataanza kwenda kuishi sayari za mbali, sisi Afrika tutakuwa na ndoto za kwenda kuishi huko kama Leo hii tulivyo na ndoto za kwenda kuishi ulaya.