Hatimae wanaanga waondoka Duniani kuelekea Mwezini

Hela iliyotumika inanunua Ambulance kila nyumba Tanzania
 
Yaani mimi nauli ya mia tano ya daladala imenikosa kwenda kwa mwamposa kula ngoma afu wao wanapewa nauli ya kwenda mwezini. Life is not fair
 
Neil Armstrong na Buzz Aldrin walishawahi kwenda mwezini na watu walishuhudia kama ilivyokuwa jana. Hata tukio la jana kuna watu wanasema ni uongo.
Kuna watu wameumbwa kutoamini kitu chochote mpaka wafanye wenyewe.

Hata akiwa kwenye tukio live anaangalia bado atabisha na kusema kuwa yupo ndotoni.

Ndio maana nikamuambia awe ameenda au hajaenda kama anavyotaka yeye ila historia itabakia hivyo kuwa Neil na Buzz ndio binadamu wa kwanza kukanyaga ardhi ya mwezini
 

Hahaha
 
Updates.

Wanaanga wameshafika kwenye mzingo (orbit) na huu ndio muonekano wa sayari yetu ukiwa anga za juu.











Credit: Nasa
 
Wanaanga wameshafila nusu ya safari,



Mwezi ni ule mldogo unaoonekana kwa mbali.

Credit: Nasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…