Hatimae Wilson Oruma akili zimemrudia tena

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1,885
Reaction score
3,227
⬛MCHAMBUZI WA MICHEZO EFM WILLISON ORUMA AMEANDIKA HIVI;

🔴Akilinganisha best season ya Medie Kagere na Fiston Mayele.

Fiston Mayele best season !
⚽ 16 - 2021/22
⚽ 17 - 2022/23

Medie Kagere best season
⚽ 23 - 2019/20
⚽ 22 - 2018/19

⏩Wanasahau kwamba wakati wa Kagere timu zilikuwa (20) na wakati wa Mayele timu ziko (16).

⏩Wanasahau kuwa wakati wa Kagere ligi haikuwa imara kama sasa. Bingwa alikuwa anapata Milioni (80) pekee wengine hawapati. Sasa hivi wakati wa Mayele Bingwa anapata Million (600 Milioni), mshindi wa pili ( 250 Milioni), wa tatu (225 Milioni) wa nne (200 Milioni) hadi wa mwisho anapata pesa.

⏩Pia wanasahau kwamba katika best season ya Kagere hajawahi kuwa Top score wa CAF. Mayele ni top score wa CAF.

KUMBE ⏩ Mayele anawatesa wengi sana.

#teamofcitizens

Your browser is not able to display this video.
 
Sawa ngoja nikachukua soda yangu ninywe huku nikifuatilia mpambano mkali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…