Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
⬛MCHAMBUZI WA MICHEZO EFM WILLISON ORUMA AMEANDIKA HIVI;
🔴Akilinganisha best season ya Medie Kagere na Fiston Mayele.
Fiston Mayele best season !
⚽ 16 - 2021/22
⚽ 17 - 2022/23
Medie Kagere best season
⚽ 23 - 2019/20
⚽ 22 - 2018/19
⏩Wanasahau kwamba wakati wa Kagere timu zilikuwa (20) na wakati wa Mayele timu ziko (16).
⏩Wanasahau kuwa wakati wa Kagere ligi haikuwa imara kama sasa. Bingwa alikuwa anapata Milioni (80) pekee wengine hawapati. Sasa hivi wakati wa Mayele Bingwa anapata Million (600 Milioni), mshindi wa pili ( 250 Milioni), wa tatu (225 Milioni) wa nne (200 Milioni) hadi wa mwisho anapata pesa.
⏩Pia wanasahau kwamba katika best season ya Kagere hajawahi kuwa Top score wa CAF. Mayele ni top score wa CAF.
KUMBE ⏩ Mayele anawatesa wengi sana.
#teamofcitizens