Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

Kwa upande wa mchele hilo lilitegemewa kutokana na Ukame wa mwaka jana sehemu kubwa ya nchi
Mwaka huu utashuka sana Hali ni nzuri
Tunasubiri jua tu uanikwe
et huyo kwa avatar ndo ww
 
Mi sijui kama MAISHA hayawi MARAHISI kwa WANYONGE, anawezaje kua KIONGOZI MZURI?
Yuko busy na miradi mikubwa, huyu jamaa anafaa kupimwa afya ya ndani ya kichwa chake
 
Neema kwa wafanyabiashara ukisikia mfanyabiashara anachukia eti kisa bidhaa imepanda bei huyo ni mnafiki wa kwanza
 
Yanayotusibu na yajayo yanasikitisha
 
ni kweli mafuta hayapo, na serikali kupitia wizara ya v/biashara kimya kama haipo!
 
bado nakumbuka kauli ya TL "akimalizana na sisi ataanza na ninyi"
 
Mtaani kwetu sukari kilo 2600

Mchele 2000

Chupa fanta mafuta 1300
 
Safi! demand ikipanda viwanda vipya vitaanzishwa maana demand ipo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…