Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,595
- 3,670
et huyo kwa avatar ndo wwKwa upande wa mchele hilo lilitegemewa kutokana na Ukame wa mwaka jana sehemu kubwa ya nchi
Mwaka huu utashuka sana Hali ni nzuri
Tunasubiri jua tu uanikwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
et huyo kwa avatar ndo wwKwa upande wa mchele hilo lilitegemewa kutokana na Ukame wa mwaka jana sehemu kubwa ya nchi
Mwaka huu utashuka sana Hali ni nzuri
Tunasubiri jua tu uanikwe
sijui tunaelekea wapiMafuta dumu la lita 20 tunanunua kwa tsh60000
uongo mchele ni 1300 kwa 1400 mzuri 1600,1700,2300,2600Mchele ni anasa Dar. Kilo ya mchele ule mbaya kabisa ni shs 3000
ushindii kwa saut kubwa acha tuisome namba mpaka pale tutakapo ongea kwa lugha moja"Kofia na kanga" zitakuepo bureee.....wembe ni ule ule
Yuko busy na miradi mikubwa, huyu jamaa anafaa kupimwa afya ya ndani ya kichwa chakeMi sijui kama MAISHA hayawi MARAHISI kwa WANYONGE, anawezaje kua KIONGOZI MZURI?
Yuko busy na miradi mikubwa, huyu jamaa anafaa kupimwa afya ya ndani ya kichwa chake
HaaaaaaaahaaaaaMngekuwa na maisha magumu mngenunua bundle?
bado nakumbuka kauli ya TL "akimalizana na sisi ataanza na ninyi"ushamba ule ule kama sukari wakati ule....
matokeo yake? hadi leo sukari bei haijashuka na importation ya sukari (ambayo then ilikuwa ndiyo bone of contention) ndiyo kwanza imekuwa kubwa kuliko zamani.
bei ya mafuta nayo ikipanda sasa haitashuka milele!
asante rais wa wanyonge!!
habari ndiyo hiyo!bado nakumbuka kauli ya TL "akimalizana na sisi ataanza na ninyi"
Kwahiyo, kwani wewe ulitakaje, au mnaona raha kulia lia tuMtaani kwetu sukari kilo 2600
Mchele 2000
Chupa fanta mafuta 1300