Kwan rock alikua anamdhalilisha na kumsimanga jada sirini au hadharani? Bas na kofi alipewa hapo hapo.Kosa sio kumpiga kofi, kosa ni kumpiga kofi hadharani tena stejini.
Sikubaliani na kitendo cha kushambulia na vile vile sikubaliani ni Chris Rock kumtania Jada ilhali ni mgonjwa.
Unawaza kupukutishwa pesa kuliko kumdefend Mkeo???acha mihemko dada, acheni ku support mambo ya kipuuzi, ashukuru sana Cris ni mstaarabu sana, bila ya hivyo angepukutishwa mamilioni.
Unawaza kupukutishwa pesa kuliko kumdefend Mkeo???
Ukishakua ukawa na Familia ndio utaelewa "how to protect your family and family comes first".
Ulikua hujui kama Binaadam ni kundi la Wanyama. Hao Mabwana zako unaowatukuza unawaitaje huko Urusi na Ukraine???Kuiprotect familia ni kufanya violence? Waafrica acha waendelee kuitwa wanyama tu
Ulikua hujui kama Binaadam ni kundi la Wanyama,
Hao Mabwana zako unaowatukuza unawaitaje huko Urusi na Ukraine???
Mmmh kamsimanga na kumdhalilisha kivipi? Na kwan alikua anajua jada ni mgonjwa?Kwan rock alikua anamdhalilisha na kumsimanga jada sirini au hadharani? Bas na kofi alipewa hapo hapo.
Kwanza ilibidi amkate mtama aanguke chini avunjike uti wa mgongo msieeeew zake.
Wenzety hata watoto wanaenda shitaki kama wamepigwa na wazaz waoWabongo mshazoea kupigana, mnapigwa kuanzia nyumbani kwa wazazi na walimu shuleni…. hivyo mnaona lile kofi kwanza halitoshi.
Wenzenu hawapo huko, na wala hizo opinion zenu haziafekti chochote maamuzi yao kisheria.
Alikua anajua ni mgonjwa, kwan amfananishe na GI JANE?Mmmh kamsimanga na kumdhalilisha kivipi? Na kwan alikua anajua jada ni mgonjwa?
Kwani chris hajadhalilishwa kupigwa kofi hadharani?
Duuh kumdifendi mkewe Kweli?Unawaza kupukutishwa pesa kuliko kumdefend Mkeo???
Ukishakua ukawa na Familia ndio utaelewa "how to protect your family and family comes first".
Wajinga hao,
Hata wakimpokonya hicho kituzo chao Will bado atabaki kua Muigizaji bora of all the time na Dunia itamkumbuka kama Mume aliyemtetea Mke wake katika kudhalilishwa.