Hatimaye akili imeanza kuwaingia HAMAS maana sikuwa nawaelewa kwenye kuachia mateka kisha kichapo kinarudi baada ya wiki

Hamas kamatieni hapo hapo mpaka magaidi waondoke ukanda wa ghaza kinguvu
Israhell kakomboeni magaidi wenu msitake huruma za wanamapambano wa hamas
Hamas kamatieni hapo hapo mpaka magaidi waondoke ukanda wa ghaza kinguvu
 
Hizi laana hazina nguvu zozote kwa Israel maana Mungu wao ana nguvu nyingi kuzidi wa kwenu aliyekimbia.
Pale mahali pamezikwa mababu wa Wayahudi, wote akina Musa, Daudi waliishi pale kabla ujio wa hao waarabu wenu, na hata kabla muarabu hajabuni dini yenu.
 
Wewe babu yako alipozikwa unapajua? Kama ndio je nikikuuliza u-trace mababu zake for only 500 years unafikiri watakuwa wamezikwa hapo hapo?

Geographically watakuwa na chimbuko la mbali sana. They left the place for hundreds of years, they had no legal claim to that land.

Ni wavamizi tu, wahuni wakubwa.
 
Sio kila jamii imetelekeza asili yao kama nyie wavaa mikanzu ya waarabu, unapaswa ujue kuna jamii zimedumisha asili yao maelfu ya miaka, Wahindi, Wachina, Wayahudi n.k.
Wameishi kwenye ardhi za mababu zao tangu na tangu.
 
Wewe ni mhindi, mchina au ni myahudi?
 
Wewe ni mhindi, mchina au ni myahudi?

Mimi ni Mwafrika na ninakiri nimepoteza asili yangu sijaidumisha kama Wayahudi, Wahindi, na Wachina... hivyo hivyo wewe mvaa kobaz na mikanzu ufanane na waarabu huna jeuri ya kunikosoa.
 
Hauoni kama unajidhalilisha mbele watu... umesoma wapi mwenzetu mbona unatia aibu
 
Endelea kuota sio mbaya
 
Hapa pekee ndio huwa hatuelewani.
Niambie Wayahudi ardhi yao iko wapi?
Au hawajawahi kuwa na ardhi?
 
Hapa pekee ndio huwa hatuelewani.
Niambie Wayahudi ardhi yao iko wapi?
Au hawajawahi kuwa na ardhi?
Hao ni barbarians wanatangatanga duniani. Mwanzo walikuwa Mirsi wakatangatanga mpaka Caanan wakaanza kuua wakazi wa huko. Akina Wakaldayo Maghayo na Wagerasi, Wafilisti n.k

Wakaona hapafai wakatanga tanga mpaka Ulaya wakafukuzwa na wenye Ulaya.

Wakatangatanga wakataka kuhamia Uganda ikashindikana wakaona waende Palestina kujidai kuwa ni kwao kumbe zamani walipavamia tu.

Angalia idadi kubwa ya wayahudi haiishi Israel ni mataifa mengine.

Inadhihirisha hao watu ni wakimbizi tu hawana ardhi wanavamia kila mahali.

Mfilisti Maghayo Wewe mbusiii
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mimi ni Mwafrika na ninakiri nimepoteza asili yangu sijaidumisha kama Wayahudi, Wahindi, na Wachina... hivyo hivyo wewe mvaa kobaz na mikanzu ufanane na waarabu huna jeuri ya kunikosoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…