Hatimaye akili imeanza kuwaingia HAMAS maana sikuwa nawaelewa kwenye kuachia mateka kisha kichapo kinarudi baada ya wiki

Hamas kamatieni hapo hapo mpaka magaidi waondoke ukanda wa ghaza kinguvu
Israhell kakomboeni magaidi wenu msitake huruma za wanamapambano wa hamas
Hamas kamatieni hapo hapo mpaka magaidi waondoke ukanda wa ghaza kinguvu
 
Israel ni magaidi waliotukuka. Occupiers wanaolazimisha kukalia nchi ya watu.

Ni watu wanaotakiwa kulaaniwa kwa nguvu kubwa sana hao wayahudi. Ipo siku watafutwa kwenye hiyo ardhi na waPalestina kubaki na amani waliyokuwa nayo katika ardhi yao kabla ya uvamizi wa hao wakimbizi.

Hizi laana hazina nguvu zozote kwa Israel maana Mungu wao ana nguvu nyingi kuzidi wa kwenu aliyekimbia.
Pale mahali pamezikwa mababu wa Wayahudi, wote akina Musa, Daudi waliishi pale kabla ujio wa hao waarabu wenu, na hata kabla muarabu hajabuni dini yenu.
 
Wewe babu yako alipozikwa unapajua? Kama ndio je nikikuuliza u-trace mababu zake for only 500 years unafikiri watakuwa wamezikwa hapo hapo?

Geographically watakuwa na chimbuko la mbali sana. They left the place for hundreds of years, they had no legal claim to that land.

Ni wavamizi tu, wahuni wakubwa.
 
Sio kila jamii imetelekeza asili yao kama nyie wavaa mikanzu ya waarabu, unapaswa ujue kuna jamii zimedumisha asili yao maelfu ya miaka, Wahindi, Wachina, Wayahudi n.k.
Wameishi kwenye ardhi za mababu zao tangu na tangu.
 
Wewe ni mhindi, mchina au ni myahudi?
 
Wewe ni mhindi, mchina au ni myahudi?

Mimi ni Mwafrika na ninakiri nimepoteza asili yangu sijaidumisha kama Wayahudi, Wahindi, na Wachina... hivyo hivyo wewe mvaa kobaz na mikanzu ufanane na waarabu huna jeuri ya kunikosoa.
 
Hao ni wakimbizi wanaotanga tanga tu duniani. Hitler alipotaka kuwafuta wakasaidiwa na US na washirika wake wakaona Palestina ndio pakuenda kuleta vurugu.

Siku Palestina ikipata Hitler wake watakimbilia tena East Africa na ku claim kuwa ndio chimbuko la mababu zao maana ushahidi wa kisayansi unathibitisha kuwa binadamu wa kwanza aliishi East Africa.

Pathetic morons.

Acha uzwazwa wewe. Huko Congo walitamka lini?
Hauoni kama unajidhalilisha mbele watu... umesoma wapi mwenzetu mbona unatia aibu
 
Israel ni magaidi waliotukuka. Occupiers wanaolazimisha kukalia nchi ya watu.

Ni watu wanaotakiwa kulaaniwa kwa nguvu kubwa sana hao wayahudi. Ipo siku watafutwa kwenye hiyo ardhi na waPalestina kubaki na amani waliyokuwa nayo katika ardhi yao kabla ya uvamizi wa hao wakimbizi.
Endelea kuota sio mbaya
 
Hapa pekee ndio huwa hatuelewani.
Niambie Wayahudi ardhi yao iko wapi?
Au hawajawahi kuwa na ardhi?
 
Hapa pekee ndio huwa hatuelewani.
Niambie Wayahudi ardhi yao iko wapi?
Au hawajawahi kuwa na ardhi?
Hao ni barbarians wanatangatanga duniani. Mwanzo walikuwa Mirsi wakatangatanga mpaka Caanan wakaanza kuua wakazi wa huko. Akina Wakaldayo Maghayo na Wagerasi, Wafilisti n.k

Wakaona hapafai wakatanga tanga mpaka Ulaya wakafukuzwa na wenye Ulaya.

Wakatangatanga wakataka kuhamia Uganda ikashindikana wakaona waende Palestina kujidai kuwa ni kwao kumbe zamani walipavamia tu.

Angalia idadi kubwa ya wayahudi haiishi Israel ni mataifa mengine.

Inadhihirisha hao watu ni wakimbizi tu hawana ardhi wanavamia kila mahali.

Mfilisti Maghayo Wewe mbusiii
 
Yaani watu wenu wameuawa takriban 20,000 huku majengo yenu yameporomoshwa mumebaki kama mji wa mazombi, mnaachia mateka almradi kupata afueni kwa wiki moja, kiasha mnaendelea kupigwa na kuuawa, niliuliza hili swali humu na kama kawaida magaidi ya humu yote yakasema HAMAS wana akili na wanajua wanachokilenga....yaani kuna dini inakufanya zombi hata akilini.

Hatimaye hao hao HAMAS wametia akili na kugoma suala la kuachia mateka eti halafu baadaye wanaendelea kupigwa, kama vipi wameomba aidha Israel iache vita kabisa....
=================

Senior Hamas official Ghazi Hamad tells Qatari broadcaster Al Jazeera that the terror group is not interested in releasing hostages just to get pummeled by Israel afterward, and appears to confirm the organization’s interest in reconciling with rival Fatah on Gaza’s postwar future, though it may not be mutual.

Hamad says a permanent ceasefire is the group’s “priority.”

“Israel will take the card of the hostages and after that they will start a new round of mass killing and massacres against our people,” he is quoted saying. “We will not play this game.”
Screenshot_20231219_113054_com.facebook.katana.jpg
 
Back
Top Bottom