Hatimaye akili imeanza kuwaingia HAMAS maana sikuwa nawaelewa kwenye kuachia mateka kisha kichapo kinarudi baada ya wiki


Bwana Utam juzi tu nimekwambia kipaumbele cha hamas ni kuisha kwa mapambano, wewe ukakaza shingo ukisema kuwa hamas wanataka mbungi iendelee, kuwa Israel ndo inaomba permanent ceasefire. Njoo uwapinge aljazeera wameleta propaganda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Nina swali Moja kwako hivi chimbuko la hawa wa Israel ni wapi maana tunajua kweli walivamia Palestine na wakapata uhuru wao mwaka 1948 Lakini wapi walitokea?
Origin yao ni wapi maana ushaidi wa kihistoria bado unawarudisha Jerusalem

Kwa nn wameandikwa kwenye biblia Tena agano la kale achilia mbali koroani miaka 1400's vipi leo unakataa kwamba hilo eneo wanalotajwa zaid ambalo ni Jerusalem leo unakataa hapo sio pao?

Origin yao ni wapi labda? Ili tuwaone kweli ni wanyang'anyi wa ardhi isiyo yao?
 
Nilishamjibu mjinga mwenzako huko juu kuhusu origin.

Kuhusu biblia usithubutu hata siku moja kuongea au kuandika mbele ya watu wenye akili halafu ukatoa reference kwenye vitabu vya kutungwa.

Biblia sio kitabu cha historia ni hadithi na soga kama zile sa Sadiki na Chitemo. Koma kabisa kutumia reference za hicho kitabu mbele ya wasomi.
 
Sijaona iyo origin unayo isema msomi?swali nimekuuliza mimi usiseme nimesha mjibu MTU nijibu mm

Ok mwanazuoni tutumie koroani ambayo miaka 1400 ilikua inawatambua hao wa Israel tena hapohapo Palestine ( Jerusalem)

Nijibu usianze kejeli sijua wajinga wenzako haina haja ya lugha za matusi na kejeli

Origin Yao ni wapi?
 
Hao ni barbarians wasiokuwa na historia. Ni watangaji tangaji duniani.

Kuhusu Quran pia usitumie kama reference maana na chenyewe ni soga tu kama za biblia.
 
Kumbe waisrael ni wachumba tu mpaka leo bado wanaangaika na mgambo wa Hamas, pamoja na misaada yote ile ya US
 
brazaj
 

View: https://youtu.be/FO0oXWWeoQo?si=c1KTAVYg5O4dIF7d
Aisay kweli Hamasi anavuruga vibaya leo Tel Aviv vitu vinashuka tu sikia dogo acha story za magazeti ya Israel.

Israel ndio anaomba vita isimame sio Hamasi.
Vinashuka wapi, wewe huoni yabutuliwa angani huko yanashuka mabaki tu. Wenzako wanawapenda raia wao ndo maana wamewawekea mifumo ya tahadhari ili kuwalinda tofauti na wanaojificha kwenye majumba ya raia wao na kuanza kulalamika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…