Hatimaye akili imeanza kuwaingia HAMAS maana sikuwa nawaelewa kwenye kuachia mateka kisha kichapo kinarudi baada ya wiki

Senior Hamas official Ghazi Hamad tells Qatari broadcaster Al Jazeera that the terror group is not interested in releasing hostages just to get pummeled by Israel afterward, and appears to confirm the organization’s interest in reconciling with rival Fatah on Gaza’s postwar future, though it may not be mutual.

Hamad says a permanent ceasefire is the group’s “priority.”

“Israel will take the card of the hostages and after that they will start a new round of mass killing and massacres against our people,” he is quoted saying. “We will not play this game.”

Bwana Utam juzi tu nimekwambia kipaumbele cha hamas ni kuisha kwa mapambano, wewe ukakaza shingo ukisema kuwa hamas wanataka mbungi iendelee, kuwa Israel ndo inaomba permanent ceasefire. Njoo uwapinge aljazeera wameleta propaganda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani watu wenu wameuawa takriban 20,000 huku majengo yenu yameporomoshwa mumebaki kama mji wa mazombi, mnaachia mateka almradi kupata afueni kwa wiki moja, kiasha mnaendelea kupigwa na kuuawa, niliuliza hili swali humu na kama kawaida magaidi ya humu yote yakasema HAMAS wana akili na wanajua wanachokilenga....yaani kuna dini inakufanya zombi hata akilini.

Hatimaye hao hao HAMAS wametia akili na kugoma suala la kuachia mateka eti halafu baadaye wanaendelea kupigwa, kama vipi wameomba aidha Israel iache vita kabisa....
=================

Senior Hamas official Ghazi Hamad tells Qatari broadcaster Al Jazeera that the terror group is not interested in releasing hostages just to get pummeled by Israel afterward, and appears to confirm the organization’s interest in reconciling with rival Fatah on Gaza’s postwar future, though it may not be mutual.

Hamad says a permanent ceasefire is the group’s “priority.”

“Israel will take the card of the hostages and after that they will start a new round of mass killing and massacres against our people,” he is quoted saying. “We will not play this game.”
 
Hao ni barbarians wanatangatanga duniani. Mwanzo walikuwa Mirsi wakatangatanga mpaka Caanan wakaanza kuua wakazi wa huko. Akina Wakaldayo Maghayo na Wagerasi, Wafilisti n.k

Wakaona hapafai wakatanga tanga mpaka Ulaya wakafukuzwa na wenye Ulaya.

Wakatangatanga wakataka kuhamia Uganda ikashindikana wakaona waende Palestina kujidai kuwa ni kwao kumbe zamani walipavamia tu.

Angalia idadi kubwa ya wayahudi haiishi Israel ni mataifa mengine.

Inadhihirisha hao watu ni wakimbizi tu hawana ardhi wanavamia kila mahali.

Mfilisti Maghayo Wewe mbusiii
Nina swali Moja kwako hivi chimbuko la hawa wa Israel ni wapi maana tunajua kweli walivamia Palestine na wakapata uhuru wao mwaka 1948 Lakini wapi walitokea?
Origin yao ni wapi maana ushaidi wa kihistoria bado unawarudisha Jerusalem

Kwa nn wameandikwa kwenye biblia Tena agano la kale achilia mbali koroani miaka 1400's vipi leo unakataa kwamba hilo eneo wanalotajwa zaid ambalo ni Jerusalem leo unakataa hapo sio pao?

Origin yao ni wapi labda? Ili tuwaone kweli ni wanyang'anyi wa ardhi isiyo yao?
 
Nilishamjibu mjinga mwenzako huko juu kuhusu origin.

Kuhusu biblia usithubutu hata siku moja kuongea au kuandika mbele ya watu wenye akili halafu ukatoa reference kwenye vitabu vya kutungwa.

Biblia sio kitabu cha historia ni hadithi na soga kama zile sa Sadiki na Chitemo. Koma kabisa kutumia reference za hicho kitabu mbele ya wasomi.
 
Sijaona iyo origin unayo isema msomi?swali nimekuuliza mimi usiseme nimesha mjibu MTU nijibu mm

Ok mwanazuoni tutumie koroani ambayo miaka 1400 ilikua inawatambua hao wa Israel tena hapohapo Palestine ( Jerusalem)

Nijibu usianze kejeli sijua wajinga wenzako haina haja ya lugha za matusi na kejeli

Origin Yao ni wapi?
 
Hao ni barbarians wasiokuwa na historia. Ni watangaji tangaji duniani.

Kuhusu Quran pia usitumie kama reference maana na chenyewe ni soga tu kama za biblia.
 
Yaani watu wenu wameuawa takriban 20,000 huku majengo yenu yameporomoshwa mumebaki kama mji wa mazombi, mnaachia mateka almradi kupata afueni kwa wiki moja, kiasha mnaendelea kupigwa na kuuawa, niliuliza hili swali humu na kama kawaida magaidi ya humu yote yakasema HAMAS wana akili na wanajua wanachokilenga....yaani kuna dini inakufanya zombi hata akilini.

Hatimaye hao hao HAMAS wametia akili na kugoma suala la kuachia mateka eti halafu baadaye wanaendelea kupigwa, kama vipi wameomba aidha Israel iache vita kabisa....
=================

Senior Hamas official Ghazi Hamad tells Qatari broadcaster Al Jazeera that the terror group is not interested in releasing hostages just to get pummeled by Israel afterward, and appears to confirm the organization’s interest in reconciling with rival Fatah on Gaza’s postwar future, though it may not be mutual.

Hamad says a permanent ceasefire is the group’s “priority.”

“Israel will take the card of the hostages and after that they will start a new round of mass killing and massacres against our people,” he is quoted saying. “We will not play this game.”
Kumbe waisrael ni wachumba tu mpaka leo bado wanaangaika na mgambo wa Hamas, pamoja na misaada yote ile ya US
 
Hamad says a permanent ceasefire is the group’s “priority.”

“Israel will take the card of the hostages and after that they will start a new round of mass killing and massacres against our people,” he is quoted saying. “We will not play this game.”
brazaj
 
View: https://youtu.be/FO0oXWWeoQo?si=c1KTAVYg5O4dIF7d

Aisay kweli Hamasi anavuruga vibaya leo Tel Aviv vitu vinashuka tu sikia dogo acha story za magazeti ya Israel.

Israel ndio anaomba vita isimame sio Hamasi.

Vinashuka wapi, wewe huoni yabutuliwa angani huko yanashuka mabaki tu. Wenzako wanawapenda raia wao ndo maana wamewawekea mifumo ya tahadhari ili kuwalinda tofauti na wanaojificha kwenye majumba ya raia wao na kuanza kulalamika.
 
Back
Top Bottom