Hatimaye Ambwene Mwasonge amuweka hadharani mke mtarajiwa

Bwana Yesu apewe sifa....

Ule msemo usemao kelele nyingi zina mshindo mkuu...hatimaye mwimbaji pendwa wa nyimbo za injili Tanzania

4cc0a85218767459f666b00e4d8a7914.jpg
Kama(upendo wa kweli na siku moja) Ambwene Mwasonge ametangaza uchumba na muda si mrefu ataingia kwenye ndoa..

Kiukweli Ambwene amechukua chombo kizuri sana kama biblia inavyosema "apataye mke na kapata kitu chema"

ec97b725cc6bcb690bbcd22b79ce9e00.jpg
Jaman my college mate kapata wife safi sana kijana
 
Bwana Yesu apewe sifa....

Ule msemo usemao kelele nyingi zina mshindo mkuu...hatimaye mwimbaji pendwa wa nyimbo za injili Tanzania

4cc0a85218767459f666b00e4d8a7914.jpg
Kama(upendo wa kweli na siku moja) Ambwene Mwasonge ametangaza uchumba na muda si mrefu ataingia kwenye ndoa..

Kiukweli Ambwene amechukua chombo kizuri sana kama biblia inavyosema "apataye mke na kapata kitu chema"

ec97b725cc6bcb690bbcd22b79ce9e00.jpg
Hivi ni mim ndio nimeona vest kwapa lipo kiunon au kuna na mwingine
 
Back
Top Bottom