na muongezeke bhana..huo u fixed sio poa looohHahaha...
Upo fixed aisee
Itabidi nikufanyie usajili wa kudumu wewe hapo uwe wa tisa...na muongezeke bhana..huo u fixed sio poa loooh
habari yako ya huu mwaka wenye mshike mshike mingi..kwangu nilikatiza hadi sasa niko bombaaa
huo usajili utakuwa na utata, sijui kama STUNTER ataweza vumilia hili na mie sitaki nimfanye ahuzunike moyoni.Itabidi nikufanyie usajili wa kudumu wewe hapo uwe wa tisa...
Mwaka waisha vyema alhamdulillah, Mungu atupe neema ya kuuona unaokuja inshallah!!
kwani nani amekuambia mie sio mtotokwa upande wangu dedication ya kitoto sana io
hata kunikumbuka tu ni neema kwangu, asante mkuuMimi nimechelewa kukutakia epi bathi dei?
Huyu atakuwa hajawahi kuitwa baby na mtu wakekwani nani amekuambia mie sio mtoto
teh teh asante kugundua kitu ambacho ndicho..mimi nilifurah sana hiyo dedication, kama kwako umeona sio nzuri ni poa pia
hatukulazimishi kufurahi kama sie
Asante sana mkuu
wooow bby sasa mbona hukuniambia umeniandikia hii kitu nzuri huku..kuni saprise mwenzako jana na kunipeleka kule mahali na mizawadi kede kede ndo usiniambie hadi huku JF kuna masaprise mengine?
Loooh I don't know what to say but just know that I will love you forever no matter what.
come rain come sun, nothing will change me..no waves will take me away from you love
I love you far way, from the moon and back.
Stun babe, I LOVE YOU and thanks for always being there for me.
hahahhaah umejua kunifurahisha mkuu, yaani mie na bae wangu sio wa leo ama kesho, alishachacha na bado tuko wote..uliza uambiweNgoja achache tuone kama hayo maneno yatakutoka; hapendwi mtu hapo ni..........basi!
u mean Stun ama mie, sasa mtu wake yupi wakati mie ndo wakeHuyu atakuwa hajawahi kuitwa baby na mtu wake