Hatimaye amezaliwa...

Hatimaye amezaliwa...

Hahaha...

Upo fixed aisee
na muongezeke bhana..huo u fixed sio poa loooh

habari yako ya huu mwaka wenye mshike mshike mingi..kwangu nilikatiza hadi sasa niko bombaaa
 
na muongezeke bhana..huo u fixed sio poa loooh

habari yako ya huu mwaka wenye mshike mshike mingi..kwangu nilikatiza hadi sasa niko bombaaa
Itabidi nikufanyie usajili wa kudumu wewe hapo uwe wa tisa...

Mwaka waisha vyema alhamdulillah, Mungu atupe neema ya kuuona unaokuja inshallah!!
 
Itabidi nikufanyie usajili wa kudumu wewe hapo uwe wa tisa...

Mwaka waisha vyema alhamdulillah, Mungu atupe neema ya kuuona unaokuja inshallah!!
huo usajili utakuwa na utata, sijui kama STUNTER ataweza vumilia hili na mie sitaki nimfanye ahuzunike moyoni.

ila all in all ongeza namba mkuu
 
kwa upande wangu dedication ya kitoto sana io
kwani nani amekuambia mie sio mtoto

teh teh asante kugundua kitu ambacho ndicho..mimi nilifurah sana hiyo dedication, kama kwako umeona sio nzuri ni poa pia
hatukulazimishi kufurahi kama sie

Asante sana mkuu
 
Huyu atakuwa hajawahi kuitwa baby na mtu wake
 
wooow bby sasa mbona hukuniambia umeniandikia hii kitu nzuri huku..kuni saprise mwenzako jana na kunipeleka kule mahali na mizawadi kede kede ndo usiniambie hadi huku JF kuna masaprise mengine?

Loooh I don't know what to say but just know that I will love you forever no matter what.

come rain come sun, nothing will change me..no waves will take me away from you love

I love you far way, from the moon and back.

Stun babe, I LOVE YOU and thanks for always being there for me.

Ngoja achache tuone kama hayo maneno yatakutoka; hapendwi mtu hapo ni..........basi!
 
Ngoja achache tuone kama hayo maneno yatakutoka; hapendwi mtu hapo ni..........basi!
hahahhaah umejua kunifurahisha mkuu, yaani mie na bae wangu sio wa leo ama kesho, alishachacha na bado tuko wote..uliza uambiwe

kwenye maisha kuna ups and downs na wote tunaelewa na tunaelewana

come rain, come sun. we will still be together..Naomba Mungu atuweke 10 more years and you will witness my same words.

Love the message though,coz watu wengine wako hivyo but kwetu ni tofauti
 
Back
Top Bottom