Hatimaye Anti Ezekiel afunga ndoa

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
3,295
Reaction score
2,501
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Anti Ezekiel amefunga ndoa Kimya Kimya siku moja baada ya kuomba msamaha kwa kuvaa nguo iliyoonyesha kufuli lake.



Hapa ni baada ya kufunga ndoa tayari.



Hapa akisaini cheti cha ndoa baada ya kumaliza shughuli.


Hapa akionyesha gauni lake


Hapa akiwa na shoga zake.





Bado Wema Sepetu na Jack Wolper zamu yao kuolewa yaja
 
Kama ni kweli (if not photoshop) namtakia maisha mema katika changamoto za maisha. Welcome to the adult world Aunt Ezekiel.
 
Kunguru afugiki huyo,awez kukaa ndani bila kwnda viwanja.
 
ndoa gani isiyo na mume?mleta maana twaomba utuletee picha za pamoja na muoaji,wakati wa shughuli,ilifanyika wapi na hao mashoga zake ni kina nani.
 
Duh makubwa aisweeeee

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hata jina la mumewe mbona hujaweka as well as picha,
 
Mrs Demonte!!
Hongera dada kama ni kweli nakutakia maisha marefu na mumeo usijekuwa kama Uwoya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…