Hatimaye Anti Ezekiel afunga ndoa

Kafunga ndoa peke yake mbona mme wake haonekani kwenye picha, changa hili
 
Ndoa inafungiwa chumbani????
Ya kihuni hiyo au maigizo
 
mimi namtakia kila la kheri huyu dada, naamini atatulia na kutengeneza familia nzuri na kuwa mama mzuri sana, asonge mbele asirudi nyuma aliko toka.
 
mimi namtakia kila la kheri huyu dada, naamini atatulia na kutengeneza familia nzuri na kuwa mama mzuri sana, asonge mbele asirudi nyuma aliko toka.
Mkuu hakuna ndoa hapo, huyo anafanya maigizo ili apate coverage katika vyombo vya habari.

Hao wasichana wote waliomzungumka ni mashosti zake na kila mara wako pamoja katika filamu za bongo.
 
Huyu msanii anaugonjwa fulani wa kiakili unaitwa Attention Seeking Disorder, ndio unaomsumbua sana.

Siku zote ataendelea kufanya vituko ili mradi avute attention za watu.
Kwa mfano: alianza kukaa uchi fiesta, kisha akaja kuomba radhi ''kisaniisanii'', leo anatoa picha kaolewa, kesho atadai kaachika, keshokutwa atadai ana mimba, then mimba imeharibika, then atajaribu kujiua kwa kunywa sumu, mwisho utasikia kaokoka..........

*Watu mnaompenda huyu dada anzeni kumsaidia kumrekebisha sasa, kabla mambo hayajawa mabaya zaidi huko mbele ya safari.
 
Mwanamke ukifanya mapenzi na wanaume watatu kabla ya ndoa wewe ni malaya

Na mwanaume ukioa mwanamke aliyefanya mapenzi kabla ya ndoa zaidi ya wanaume wawili umeoa malaya

Na kwa yeyote ambaye sio malaya (kwa kigezo nilichotoa)
Na kwa wanaume kama hujaoa malaya (kwa kigezo nilichotoa) na awe wa kwanza kumponda Aunt Ezekiel
 
Nahisi jamaa aliyemuoa ni baada ya kuona ile Kufuli pale jukwaani akavutiwa naye!

lile halikuwa kufuli mkuu Ndallo, yalikuwa ni maji ya hamu yale yalichora kijiramani hivi.
 
Sheikh Farid amedai kuwa alikamatwa na watu wa usalama na alikuwa akihojiwa pamoja na kupewa vitisho.
Source: itv breaking newz
 
Kuna tetesi ameachiliwa kwa amri ya Sultani Jakaya baada ya kurejea kutoka Oman.
 
Kama serikali imegwaya hawa magaidi ijue imejipalia mkaa. Huyu hakupaswa kurudi mapema bila kufunguliwa mashtaka. Ila nijuavyo ataumia hasa ikizingatiwa kuwa ameishachinjwa askari mmoja. Lazima watamfanzia tu iwe si leo wala kesho akae akijua ataliwa tu.
 
huuuuuuu ni usaniii!! huyu jamaa hakutekwa ni usaniii wa hawa kundi la boko haram ya Tawi la Tanzania
 
lazima wamkamate wakamuunganishe na ponda kwa kesi ya uchochezi huyu, subir utaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…