Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hakuna ndoa hapo, huyo anafanya maigizo ili apate coverage katika vyombo vya habari.mimi namtakia kila la kheri huyu dada, naamini atatulia na kutengeneza familia nzuri na kuwa mama mzuri sana, asonge mbele asirudi nyuma aliko toka.
Nahisi jamaa aliyemuoa ni baada ya kuona ile Kufuli pale jukwaani akavutiwa naye!
Pumbavu wangemuua kabisa gaidi mkubwa huyo
Pumbavu wangemuua kabisa gaidi mkubwa huyo
ndoa inafungwa kitandani duu! ni dini gani hiyo wakuu