Hatimaye Anti Ezekiel afunga ndoa


Ukiwa na hasira huwezi kuona wala kuwaza vizuri. Kupigania haki si kubaguana na kudhrauliana kwa misingi ya dini. Haki ya kuchinja wanyama waislamu waliidai wakaachiwa ila sasa ni haki ya waislamu na wakristo. Imegundulika kuwa haikuwa haki bali uroho wa nyama na vyakula vya mwilini.
 

Mtu akishaingiwa na roho ya uharibifu chochote kinawezekana. Hata mwizi aliyekubuhu akikosa cha kuiba anaweza kuvizia shati lake mwenyewe ili nafsi isuuzike.
 
jk anauma huku anapuliza kule..dar wamepigwa mabomu zanzibar katengeneza ultimatum ya masaa 26 na kuitekeleza mwenyewe!!!hii yote kuwapa platform hawa wahuni..dhaifu mkubwa
 

You need to be rational thinker.

1) Mtu ametekwa amefungwa kitambaa cheusi usoni haoni. Kafungwa pingu siku zote alipokuwa matekoni. Hakuiona nyumba aliyoingizwa na wala hakupaona ndani ya hiyo nyumba alipowekwa na hakutolewa kitambaa usoni. Lakini mtu huyo alikuwa anaenda chooni kujisaidia na kunywa maji(zingatia haoni na amefungwa pingu mikononi,mara nyingi pingu wanafunga kwa nyuma)

2) Amelala na pingu siku tatu, na ametoka yuko fiti vile(mtafute kibaka aliyelala na pingu hata siku moja akueleze uchovu wakulala na pingu siku moja).

3) Ni vipi watekaji wamevaa sox usoni wamtolee vitambulisho na yeye adhibitishe hao ni usalama wa taifa bila kulinganisha picha za vitambulisho na sura za hao watu?

source: yeye mwenyewe kwenye mahojiano hapa chini:

BREAKING NEWS Sauti ya UST Farid na Salma Said | Mzalendo.net
 
nyerere was a man,na he was more smart in countrys security than this poor leaders despite the less weapons he had,elimu haijasaidia kabisa

wewe unajua nyerere alivalishwa baibui na kukimbizwa kigamboni baada ya wanajeshi kuuasi na kumuondoa madarakani ? 1964? Uliza kijana walimuokoa makomandoo wa uk walio shuka kwenye manowari zao ...
Jee wajua kina hanspope walimpeleka tena mafichoni zenji walipomkosa chu chup kumpindua
alikua ana i shi kwa hofu kubwa
wananchi hawakuwa na usalama wa amani waliishi kwa hofu pia
 

Kumbe na wewe ni muaji ? unataka kuchokoza nyuki ?
 
ni usanii?au ulitaka atoke akiwa na mapengo na ndevu kanyolewa!,kwa hiyo mkweli ni yule dokta wenu wa vidonda aliye fumaniwa na mke wa mtu akatendwa halafu akajitia alitekwa.

Hata kama una hasira ni vibaya sana kusema uongo. Dr ulimboka liko wazo alitekwa sa ukitaka sema uongo ambao hata wewe ni dhahiri moyoni mwako unaujua kuwa alitekwa na TISS na wala si kufamaniwa.
Kumbuka two wrongs do not make up a right.
 

Hayo yanafahamika lakini usiweke chumvi katika hiyo story na sababu ya yale machafuko inajulikana
 
jk anauma huku anapuliza kule..dar wamepigwa mabomu zanzibar katengeneza ultimatum ya masaa 26 na kuitekeleza mwenyewe!!!hii yote kuwapa platform hawa wahuni..dhaifu mkubwa

ww ndio mhuni na dhaifu
 
Mkuu sitaki kubishana na wewe, ila ninataka kujifunza zaidi
*Hizo ndoa za niaba kwenye uislam zinatoka wapi? kuna kitu unachanganya hapa.
Yapo mambo mengi sana ya ndoa uislam unasingiziwa tu lakini hayapo kabisa kwenye msahafu wala hadithi za mtume, mfano ni hili au ndoa za mikeka.

*Kuna kitu watu wanashindwa kutofautisha kati ya uislam na mila za kijamii kama uarabu, uzaramu, ukwer.e, upemba, uunguja nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…