Tatizo la Watanzania hasa wale wasio waislam sio wapigania haki ndio maana hata uhuru wamepigania waislam wakadanganywa kapigania NYERERE waislam wanadai haki zao na kumbuka kwamba IF YOU WANT PEACE PREPARE FOR WAR and JUDGE THE BOOK TROUGH IT`S COVER. IS THE WEAR WHO KNOWNS WHERE THE SHOES PEACHES SO non muislam piga kimya hauna unachokijua
Ukiwa na hasira huwezi kuona wala kuwaza vizuri. Kupigania haki si kubaguana na kudhrauliana kwa misingi ya dini. Haki ya kuchinja wanyama waislamu waliidai wakaachiwa ila sasa ni haki ya waislamu na wakristo. Imegundulika kuwa haikuwa haki bali uroho wa nyama na vyakula vya mwilini.