Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,517
- 1,407
Filamu hiyo hakuna mtu anaoa hiyo takataka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona shemeji hajaonyeshwa?
Filamu hiyo hakuna mtu anaoa hiyo takataka!
kama ni kweli (if not photoshop) namtakia maisha mema katika changamoto za maisha. Welcome to the adult world aunt ezekiel.
ndoa inafungwa kitandani duu! ni dini gani hiyo wakuu
inaweza kuwa kweli au igizo
ikumbukwe ndoa zetu zinafungwa bibi harusi akiwa chumba tofauti na bwana harusi
kweli huyu binti ana matukio mabaya lakini ikumbukwe kumhukumu si sawa kwani anawezapata anayependa vibweka vyake!!
Waswahili wanasema - Kila shetani na mbuyu wake
Mgaya D.Wndoa gani isiyo na mume?mleta maana twaomba utuletee picha za pamoja na muoaji,wakati wa shughuli,ilifanyika wapi na hao mashoga zake ni kina nani.
Bado Utetezi wako haujibu utata uliopo hapo. Hicho kitu Ni cha kisaniii kabisa.Mgaya D.W
Nakujibu wewe kwa niaba ya wenzio wooote mliouliza kuhusu muoaji.
Mumewe ajaitwa Sunday Demonte. Usibabaishwwe na jina, ni Muislamu na anaishi Dubai. Wakati ndo ikifanyika, mume yuko Dubai na hapa kawakilishwa na nduguze ambao wameoa kwa niaba yake. Waislamu wanaruhusiwa hata ndugu kuoa kwa niaba ya mume kwahiyo sio issue sana kwao.
Hata kama mume angekuwapo Dar kwa sasa na kuwapo eneo la tukio, Bibi harusi na Bwana harusi huwa wanakaa sehemu tofauti na hawakai pamoja siku ya kufunga ndoa. Kila mmoja anaulizwa akiwa sehemu ya peke yake.
Sio lazima shigongo atoe kwanza ndio muamini, hata humu JF kunaweza kuwa sehemu ya kwanza ku-break news. By the way, sherehe maalum ya mke na mume itafanyika Dubai hivi karibuni. Nitakuleeteeni Picha.
Stay Tuned
Bado Utetezi wako haujibu utata uliopo hapo. Hicho kitu Ni cha kisaniii kabisa.
*Cheti cha ndoa lazima kisainiwe na wahusika wote wawili yaani mke na mume mwenyewe na sio kwa niaba.
Picha inamwonyesha mwanamke pekee.
*Kwenye uislam hakuna kitu kinachoitwa kuoa kwa niaba ya mtu mwingine. Zipo mila za makabila fulani ndio zina hicho kitu lakini sio kwenye uislam wala kiserikali.
*Yote kwa yote, mbona upande wa waoaji hatuuoni hapo, yaani huo ''uwakilishi wa
mwanaume'' kama ulivyodai? Yaani hata upande wa mwanamke(Mzazi wa kiume) na Sheikh(Ustaadh) anayefungisha ndoa hawapo hapo!!