Hatimaye APHFTA na Hospitali Binafsi zote Warejesha huduma za HNIF Hospitalini

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
11,622
Reaction score
26,005
Wapuuzi sana ! Wangekomaa ili tujue wao vidume kweli,
 
Kwa hyo vifurushi vimekaaje maana wameshusha kutoka laki 3 ad laki na 30
 
Ni vyema kwa watu wote wakiwemo wawekezaji kutambua kuwa serikali iliyopo madarakani ipo kihalali, kisheria hivyo basi lazima kila mtu anawajibu wa kuheshimu mamlaka na sheria za nchi.

Tamko la APHFTA lilikuwa utovu wa nidhamu na kukosa utu.
Nani asiyejua kuwa huduma za hospitali zinahusu maisha ya watanzania moja kwa moja? Unapata wapi ujasiri wa kusema utawafukuza wagonjwa? Ili wafe au?

Kuipenda nchi yetu I.e. uzalendo unaanza kwa kuthamini maisha ya watanzania.

Tuipende nchi yetu.
 
Ummy ndo anavuruga huo mfuko ili kuinusuru usifilisike huku akiumiza watu haikubaliki
 
Watakua wapumbavu kisa mkwala
 
NI JAMBO JEMA HUDUMA KUPATIKANA KWENYE HIVYO VITUO.
NI WAKATI SASA KQA NHIF KUTOA TAARIFA ZA MATUMIZI YA MICHANGO YA WANACHAMA. JE HIZO 41 BILLION ZILIZOKOPESHWA KQA WAFANYAKAZI,NANI ALIWAPA IDHINI?

Au ndio ie, wewe changia tu, matumizi usiulize!!
 
Sasa ningependa kwenye mazungumzo wawe fair kwa pande zote mbili
Kuwa fair inatakiwa kuanzie na uwakilishi kamilifu wa kamati... Mfano kwenye hiyo kamati kuna wawakilishi wa wanachama wa NHIF? Wizara ya afya pia iache kuuigilia mfuko kwa sababu hizo ni pesa za mfuko (wanachama) siyo za serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…