eddy masse New Member Joined Oct 24, 2015 Posts 3 Reaction score 2 May 16, 2018 #1 Baada ya kupigania nafasi ya kushiriki klabu bingwa ulaya hatimaye wamegonga mwamba klabu ya Chelsea na kujikuta wakiungana na maasimu wao washika bunduki wa jiji la London na kucheza ligi Moja (Europa league) View attachment VID-20180514-WA0007.mp4
Baada ya kupigania nafasi ya kushiriki klabu bingwa ulaya hatimaye wamegonga mwamba klabu ya Chelsea na kujikuta wakiungana na maasimu wao washika bunduki wa jiji la London na kucheza ligi Moja (Europa league) View attachment VID-20180514-WA0007.mp4
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 May 16, 2018 #2 Na wote tuseme Amen.
Songa Heri JF-Expert Member Joined Feb 6, 2016 Posts 1,724 Reaction score 1,873 May 17, 2018 #3 Karibu katika shoo za alhamisi [emoji23]