eddy masse
New Member
- Oct 24, 2015
- 3
- 2
Baada ya kupigania nafasi ya kushiriki klabu bingwa ulaya hatimaye wamegonga mwamba klabu ya Chelsea na kujikuta wakiungana na maasimu wao washika bunduki wa jiji la London na kucheza ligi Moja (Europa league) View attachment VID-20180514-WA0007.mp4