Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
Mtu anavyohuliza swali unatakiwa kujibu swali sio kuanza kutoa majibu kama wanaku ambaruty[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]endelea kuota ndoto nyevuu
Asantebaadhi ya game unaona
DaahHaa😀
Azam Wameweza Kwenye Ukwaju Tshs 500/=
Haahhahaha.Algeria 1.Nigeria 0.Hii sasa ni dhahiri kwamba tatizo si Maombolezo tena ( Maana yameisha kwisha ) , bila shaka tatizo laweza kuwa kuishiwa haki ya kuonyesha kabumbu la Afcon .
.........Kama siyo DSTV potezea kabisa .
Sasa kama unaota ndoto nyevu usiambiwee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] 19 utaona katuni tuu ukalaleeMtu anavyohuliza swali unatakiwa kujibu swali sio kuanza kutoa majibu kama wanaku ambaruty
Mimi nilikuwa nawachoraKuna wajinga walikua wanalinganisha DStv na hizi takataka.
kuna mechi wanachagua kuonesha, ila uefa sijaonagaIvi dstv kile kifurushi cha bomba cha @19,000 uwa kinakuwa na channel zinazoonyesha ligi kuu ya uingireza na uefa championi league??
Naipataje mkuuTv congo ni FTA itafuteni inaonyesha mechi zooote haiachi hata moja ila kama hujui kifaransa kausha
Ligi kuu utapata channel moja jumamosi mechi moja na j2 mechi moja,sku moja moja utapata mechi za katkat ya wiki.Ivi dstv kile kifurushi cha bomba cha @19,000 uwa kinakuwa na channel zinazoonyesha ligi kuu ya uingireza na uefa championi league??
SubutuIvi dstv kile kifurushi cha bomba cha @19,000 uwa kinakuwa na channel zinazoonyesha ligi kuu ya uingireza na uefa championi league??
Kwenye kisimbusi cha Azam nadhani ipo kwenye kipengele cha other channels kama haiko basi itabidi ufanye manuva ya kimafiaNaipataje mkuu
Abbreviations pleaseK.N.Z Azam...
Acha uongo bana, kuna baadhi ya mechi huwa wanaoneshaSasa kama unaota ndoto nyevu usiambiwee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] 19 utaona katuni tuu ukalalee
EPL inaoneshwa 210 na 208Ligi kuu utapata channel moja jumamosi mechi moja na j2 mechi moja,sku moja moja utapata mechi za katkat ya wiki.
Uefa utapata pia matchday 1.
Laliga utaangalia ligi zote ad za watoto[emoji23], scudetto pia game zte unapata.
Ila jua nakupa data za msimu ulipita,msimu ujao sjajua bado
Kumbe Ndio Zao😂😂Abbreviations please