Hatimaye Azam Tv yaishiwa bando la AFCON

Hatimaye Azam Tv yaishiwa bando la AFCON

Hii sasa ni dhahiri kwamba tatizo si Maombolezo tena ( Maana yameisha kwisha ) , bila shaka tatizo laweza kuwa kuishiwa haki ya kuonyesha kabumbu la Afcon .

.........Kama siyo DSTV potezea kabisa .
Haahhahaha.Algeria 1.Nigeria 0.
 
Mtu anavyohuliza swali unatakiwa kujibu swali sio kuanza kutoa majibu kama wanaku ambaruty
Sasa kama unaota ndoto nyevu usiambiwee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] 19 utaona katuni tuu ukalalee
 
Ivi dstv kile kifurushi cha bomba cha @19,000 uwa kinakuwa na channel zinazoonyesha ligi kuu ya uingireza na uefa championi league??
Ligi kuu utapata channel moja jumamosi mechi moja na j2 mechi moja,sku moja moja utapata mechi za katkat ya wiki.
Uefa utapata pia matchday 1.
Laliga utaangalia ligi zote ad za watoto[emoji23], scudetto pia game zte unapata.
Ila jua nakupa data za msimu ulipita,msimu ujao sjajua bado
 
EPL inaoneshwa 210 na 208
207 LaLiga
Utakosa big match maana nyingi zaoneshwa 203 205 na 206
 
Back
Top Bottom