Hili hakuna kitu limeonyesha mechi chache sanaUBC MPANGO MZMA AFCON KAMA KAWA
Ivi dstv kile kifurushi cha bomba cha @19,000 uwa kinakuwa na channel zinazoonyesha ligi kuu ya uingireza na uefa championi league??
Wezi Sana hawa Azam,Walitangaza kwa mbwembwe sana na wengi wakanunua vifurushi, ukaja msiba bahati mbaya, msiba umekwisha na sasa kimya hata maelezo hakuna.
Huu ni uongo na utapeli lakini kwakuwa wao ni Azam wataachwa tu.
Wamedanganya umma.
mkuu hapa maujanja unafanyaje maana wanazifunga zinaganda tuTumia hiyo hiyo azam kuweka channel za fta zenye afcon
By dk fta
Mara tz
Usipokunywa vinywaji utakula nganoSitumiagi bidhaa yoyote ya Azam
wewe unadhani Azam ndo kampuni pekee inahusika na vinywaji na bidhaa za ngano?Usipokunywa vinywaji utakula ngano
HuwezSitumiagi bidhaa yoyote ya Azam
Bando kipindi hiki cha huyu dingi imekuwa anasaMnapata tabu sana nunua android box yako connect bundle yako uone mechi acheni umasikini wa mawazo pambana na mazingira yako
Ningekuwa na uwezo ningekualika home uje uone. Ni mwaka wa tatu sasa sijawahi kutumia biadhaa yoyote ya Azam, imepiga marufuku. Kuanzia maji, juisi, unga na +++Huwez
Hadi ngano?, kwann?Ningekuwa na uwezo ningekualika home uje uone. Ni mwaka wa tatu sasa sijawahi kutumia biadhaa yoyote ya Azam, imepiga marufuku. Kuanzia maji, juisi, unga na +++
Nina sababu binafsi, ngano natumia ambazo sio za Azam, na hata nikiwa nje ya home sili chapati wala maandazi kwa sababu ya kuhofia kula unga wake. Nikiwa home nakula sababu hatumiki unga wake.Hadi ngano?, kwann?
Wezi wakubwa Sana Azam hasa Tiddo. Tunamjua Sana tangu TBCHii sasa ni dhahiri kwamba tatizo si Maombolezo tena ( Maana yameisha kwisha ) , bila shaka tatizo laweza kuwa kuishiwa haki ya kuonyesha kabumbu la Afcon .
.........Kama siyo DSTV potezea kabisa .
wanaiunga serikali mkono kwa vitendoWezi wakubwa Sana Azam hasa Tiddo. Tunamjua Sana tangu TBC
Hii sasa ni dhahiri kwamba tatizo si Maombolezo tena ( Maana yameisha kwisha ) , bila shaka tatizo laweza kuwa kuishiwa haki ya kuonyesha kabumbu la Afcon .
.........Kama siyo DSTV potezea kabisa .
Huduma kwa wateja wamezima kabisaWalitangaza kwa mbwembwe sana na wengi wakanunua vifurushi, ukaja msiba bahati mbaya, msiba umekwisha na sasa kimya hata maelezo hakuna.
Huu ni uongo na utapeli lakini kwakuwa wao ni Azam wataachwa tu.
Wamedanganya umma.