Hatimaye Azam Tv yaishiwa bando la AFCON

Hatimaye Azam Tv yaishiwa bando la AFCON

Walitangaza kwa mbwembwe sana na wengi wakanunua vifurushi, ukaja msiba bahati mbaya, msiba umekwisha na sasa kimya hata maelezo hakuna.
Huu ni uongo na utapeli lakini kwakuwa wao ni Azam wataachwa tu.
Wamedanganya umma.
Wezi Sana hawa Azam,
Wangesema tu toka awali kua wataishia Raundi ya 16
 
Mnapata tabu sana nunua android box yako connect bundle yako uone mechi acheni umasikini wa mawazo pambana na mazingira yako
 
Ningekuwa na uwezo ningekualika home uje uone. Ni mwaka wa tatu sasa sijawahi kutumia biadhaa yoyote ya Azam, imepiga marufuku. Kuanzia maji, juisi, unga na +++
Hadi ngano?, kwann?
 
Hadi ngano?, kwann?
Nina sababu binafsi, ngano natumia ambazo sio za Azam, na hata nikiwa nje ya home sili chapati wala maandazi kwa sababu ya kuhofia kula unga wake. Nikiwa home nakula sababu hatumiki unga wake.
 
Hii sasa ni dhahiri kwamba tatizo si Maombolezo tena ( Maana yameisha kwisha ) , bila shaka tatizo laweza kuwa kuishiwa haki ya kuonyesha kabumbu la Afcon .

.........Kama siyo DSTV potezea kabisa .
Wezi wakubwa Sana Azam hasa Tiddo. Tunamjua Sana tangu TBC
 
Wajinga sana. Tangu wapate musiba, hata tv za East Africa zilizokuwa zinaonesha kama ubc, kbc na rwanda, wakati wa mchezo zinakuwa restricted to show na azam
Hii sasa ni dhahiri kwamba tatizo si Maombolezo tena ( Maana yameisha kwisha ) , bila shaka tatizo laweza kuwa kuishiwa haki ya kuonyesha kabumbu la Afcon .

.........Kama siyo DSTV potezea kabisa .
 
kwa kitendo walichofanya AZAM walaaniwe kabisa na kifurushi chao kinaisha mwishoni wa mwezi huu tutaonana nao
 
Back
Top Bottom