Hatimaye baadhi ya wanaojisalimisha, wamegunduliwa waliohusika kwenye shambulio la Oktoba 7

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Sijaelewa kwanini Israel imetangaza hawa, walipaswa wakijisalimisha wachukuliwe kimya kimya wapelekwe sehemu mafichoni, wafanyiziwe huko mambo ya hovyo kwa muda mrefu sana....

Hamas terrorists, including those involved in Oct. 7, surrendering in Gaza​

Many of the Hamas terrorists surrendering to the IDF were involved in the October 7 massacre, Defense Minister Yoav Gallant stated on Monday evening during a televised address.

"Hamas is on the verge of dissolution, the IDF is taking over its last strongholds," Gallant said.
 
Wameokoa wangapi hilo taifa la LGBTq+ [emoji3]
Maana nasikia taarifa tayari washaifuta hamas
 
Bro ungebaki kwenye kale kamstari kako ka "teule", siku hizi unaandika insha zinazoashiria hasira kali.
Kwanini mkipewa sifa za israhell mnashikwa na hasira
Situmesikia migambo wao wanaoana huko ghaza
Wanaume kwa wanaume
 
Sijaelewa kwanini Israel imetangaza hawa, walipaswa wakijisalimisha wachukuliwe kimya kimya wapelekwe sehemu mafichoni, wafanyiziwe huko mambo ya hovyo kwa muda mrefu sana....

Hamas terrorists, including those involved in Oct. 7, surrendering in Gaza​

Many of the Hamas terrorists surrendering to the IDF were involved in the October 7 massacre, Defense Minister Yoav Gallant stated on Monday evening during a televised address.

"Hamas is on the verge of dissolution, the IDF is taking over its last strongholds," Gallant said.
Mkuu
Hongera sana.
Lkn mbona siku hizi update za Ukraine huleti ndugu yangu ama tayari ushindi upo mikononi mwa Ukraine?
 
Ww mkunya una matatizo sana ila siku shangai wakunya wengi wana sumbuliwa na njaa hivyo mawazo ndo tatizo.

Vip huko vita ya Ukraine inaendeleaje?
 
Kwanini mkipewa sifa za israhell mnashikwa na hasira
Situmesikia migambo wao wanaoana huko ghaza
Wanaume kwa wanaume

Sijazoea kuona ukichukia, huu mtanange wa Gaza umekugusa pabaya....huwa mnachekesha sana yaani mnalazimisha undugu na waarabu, na walivyo na roho ngumu, hutesa sana Waafrika, kuanzia enzi za utumwa wakati walikua wanalazimishia dini yao.
 
nchi yenyewe wanaruhusu rainbow, afu kuna wanaume kabisa wanatembezwa wamevaa chupi tu. hamas mwaka huu watasema yote. inasemekana wayahudi ukiingia kwenye anga zao ni wakatili kinyama.
 
Sijaelewa kwanini Israel imetangaza hawa, walipaswa wakijisalimisha wachukuliwe kimya kimya wapelekwe sehemu mafichoni, wafanyiziwe huko mambo ya hovyo kwa muda mrefu sana....

Hamas terrorists, including those involved in Oct. 7, surrendering in Gaza​

Many of the Hamas terrorists surrendering to the IDF were involved in the October 7 massacre, Defense Minister Yoav Gallant stated on Monday evening during a televised address.

"Hamas is on the verge of dissolution, the IDF is taking over its last strongholds," Gallant said.
Mr uharo😂😂
Uwa nacheka sana kila kitu hatimaye😂

Mabwana zako wamekiri kuwa wale siyo Hamas 😂
 
Ulijuaje LGBTq+ kama siyo mhusika, kama ni mabaya kwako kwa nini uyafahamu? Ofcurse unayaoenda
Wewe Yuda Eskarioti wa Mbagala Majimatitu acha kutetea mashoga au na wewe umeshaleft group?
Yaani mijitu inajirikodi inafukunyuana kabisa ndani ya vifaru vya Merkava Halafu wewe unajifanya kuwakingia kifua.
1702367068300.jpg
 
Back
Top Bottom