Hatimaye bahasha iliyokuwa imefungwa imefunguka.(Ushoga)

Hatimaye bahasha iliyokuwa imefungwa imefunguka.(Ushoga)

Yale mashati na T.shet za kijani nawaonea huruma huko barabarani hasa wafia chama. Kila mtu anajua yaliyotokea kuhusu ushoga Karibu sana smart phone.
Katika Afrika Mashariki ni serikali ya Uganda tu ndiyo ambayo hajaridhia ushoga. Wengine wote mmeridhia acheni kujitoa akili.

Ulikuwa wapi wakati serikali ya ccm inamkana BASHIRE juu ya jambo hili?

Au unafikiri wote wanasahau kama wewe?

Mnaacha kujadili mazimio ya bunge la ulaya kwa umoja na ujumla wake mnajadili mambo ya USHOGA?

Wale mashoga waliojaa huku mitaani mmeshawahi wafanya lolote?

Mbona hata wengine ni ma DC na hamuwafanyi kitu tena wameolewa kabisa?
 
Mtajijua wenyewe wanaume kukatika km wanawake huku wengine wakiwa na miundo ya kike backside, mbaya zaidi
 
Back
Top Bottom