Hatimaye bandari ya Kisumu kuzinduliwa wiki hii - Mwanza na Jinja kunufaika pakubwa

Doooh!

Dar to Mwanza 1200
SGR ipo porini
SGR kilometres 200
Dar port haifikii nusu ya Mombasa
Tutaitafuna kanda ya kaskazini

😑😑😥😤😧😩😰😢

Sijaona hata kipi kati ya hilo furushi la povu kinahusiana na Kisumu wala Mwanza wala msingi wa swali langu.
 
Wanajiliwaza mziki wa Mwanza hamna anauweza Lake Victoria!
Yaani hakuna uhusiano kabisa kati ya hicho wanachokifanya na kinachoendelea Mwanza, kwanza wanajaribu kufanya kitu ambacho tayari kinafanyika Mwanza mna mrefu

Sababu kama ni kuihudumia Uganda, tayari Mwanza inapitisha thousands of containers to Uganda via Mwanza for 2 years now.
 
Dar mpka mwanza ni kilomita ngapi
 
Dar mpka mwanza ni kilomita ngapi
Mzigo unatoka Dar kwa train, unafika bandari ya Mwanza, unaingia na train yake ndani ya kivuko, unafika port bell, unakutana na railway, train inatoka kwenye kivuko, unaingia kwenye railway, unaenda mpaka Kampala
 



Nasikia pia serikali ipo kwenye mpango wa kujenga kivuko kipya chenye uwezo wa kubeba container 100 na train yake kutoka Mwanza kwenda Uganda[/QUOTE]

Hyo meli ya kubeba treni iko wapi...au bado unaendelea kusikia...


 

Ndio tatizo la mitandaoni, haujibiwi ufurahishwe, ila unaambiwa kama ilivyo.
 
zimetajwa kwa story..soma!! Rivatex pia inahitaji pamba kwa wingi hivyo changamkieni fursa la sivyo tutazikugia sisi wenyewe
 
zimetajwa kwa story..soma!! Rivatex pia inahitaji pamba kwa wingi hivyo changamkieni fursa la sivyo tutazikugia sisi wenyewe
Hapo kwenye pamba, kwani mna pengine pa kwenda zaidi ya Tanzania? Sababu nchi ya kwanza kwa uzalishaji pamba Africa imezalisha tani 450k wakati Tanzania imezalisha 360k, Kenya ninyi hata 15k hamjafanikiwa

Kuna mambo mengine wala hutumii hustle yapo tu naturally
 
zimetajwa kwa story..soma!! Rivatex pia inahitaji pamba kwa wingi hivyo changamkieni fursa la sivyo tutazikugia sisi wenyewe
Pia nimeona mmepanga kuleta mpunga, lol are you guys serious? Mnapeleka mpunga Mwanza kutoka Kenya ninyi mmejitosheleza? Last season nilikua Lake zone na mchele kilo moja walikua wanauza 600 mashineni hiyo ni 27 ya Kenya

Ninyi mtakuja muuze bei gani?
 
Kwa mbwembwe hujambo. Ila mambo na biashara imekupiga chenga sawa sawa. Mambo yanayo jadiliwa kwenye uzi huwezi kung'amua. Zidi kushabikia uzalendo.
 
Kwa mbwembwe hujambo. Ila mambo na biashara imekupiga chenga sawa sawa. Mambo yanayo jadiliwa kwenye uzi huwezi kung'amua. Zidi kushabikia uzalendo.
Bandari ni mzigo sio maneno, lazima muwe na business plan inayoeleweka ili mfanye biashara, na ndio maana nikataka kujua ni mzigo gani utatoka Kenya kuja Tanzania

Sijauliza kuhusu mzigo utakaotoka Kenya kwenda Uganda sababu najua mzigo mkubwa wa Uganda unapita Kenya, lakini kwa jinsi mnavyoikuza hii bandari yenu na kuiita regional hub ndio nikataka kujua how?

Haya, sasa linganisha ground facts zilizopo kwenye uzalishaji wa mchele kati ya Tanzania na Kenya kwa mwaka 2017, kumbuka business is numbers

Hahaha yaani mmezalisha kitu ambacho hata hakifiki 1% ya kilichozalishwa Tanzania in the same year.
 
Uhuru to relaunch Kisumu port after Sh3 billion facelift
The Kisumu Port, rehabilitated at Sh3 billion, is set to be reopened this week, raising the fortunes of the Western Kenya city as a regional economic hub.

The Kenya Ports Authority (KPA) has been preparing for the relaunch, which is expected to reawaken the once vibrant inland port.

“All is set and the port will start handling cargo in the coming days as we seek to reignite the triangular trade between Kisumu, Jinja in Uganda and Tanzania’s Mwanza Port,” said a KPA source who sought anonymity.

The roaring back to life of the port which was established in 1901 is expected will make Lake Victoria a crucial transport corridor in the shipment of general cargo into and out of the East African region.

Some of the goods that Kenya plans to export via the port include fertiliser, cement, rice, edible oil and general dry cargo such as spare parts.

More: Uhuru to relaunch Kisumu port after Sh3 billion facelift
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…