Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Doooh!Labda kukutajia vitu vichache ambavyo vitakupa mwanga fulani hivi, Dar to Mwanza ni karibu 1,200km, ila Mombasa hadi Kisumu ni 800km, ukiongeza sisi tunayo SGR ilhali nyie bado mpo maporini bado hamfahamiki lini mtakamilisha kasafu ka kilomita 200km
Kingine bandari yenu haifikii nusu ya bandari yetu kwa ufanisi, yaani kunazo sababu nyingi tu kwanini kanda ziwa na kaskazini tutaitafuna kwenye sahani moja na nyie.
Halafu naomba ukajipe darasa nini maana ya rehabilitation.
Dar to Mwanza 1200
SGR ipo porini
SGR kilometres 200
Dar port haifikii nusu ya Mombasa
Tutaitafuna kanda ya kaskazini
😑😑😥😤😧😩😰😢
Sijaona hata kipi kati ya hilo furushi la povu kinahusiana na Kisumu wala Mwanza wala msingi wa swali langu.