Hatimaye BASATA imewaruhusu wasanii Diamond na Rayvanny kuendelea na Tamasha lao la Wasafi Festival.

Okay huko kwenye kwenye ufanunuzi wakutafute uwanyoshee hizo sentence zao lakini mimi mlaji wa ndani wamenilinda sina shaka ati.

Hiyo Gabage wakalishe wakenya...

Huwezi kuniambia ufungue Pro-Gay Song uipige barabarani kisa eti umekua mbunifu saaana na unataka kuvuta hisia za soko la nje ya TZ lenye hela na gay wengi.

Fyekelea mbali na u-gay wako fyekelea mbali na utamaduni wa matusi hadharani...

Wasanii wanapata materials ya kazi zao kutoka kwenye jamii wanayoishi. Maneno wanayoimba hawayatoi hewani. Ni maneno yanayotumika kila leo, wala hakuna neno jipya.

Ukiongea kuhusu Pro gay songs kama unavyoziita, mbona zinapigwa kwenye radio na TV zote Tanzania. Usiniambie hujawahi kusikia "Born This Way" wa Lady Gaga labda unaongea vitu usivyokuwa na ufahamu navyo. Kwa taarifa yako hizo nyimbo watu wanasikiliza na kuzipenda tangu enzi za Mwalimu. Ukibisha labda hujui watu kama Freddy Mercury wanaimba nini.
 
Ndege wakizoea makelele yako, wala hawstishiki kula mpungu shambani! Ndiyo Basata. Ndege wanajuwa wapi mti wanaojifichia.
 
Wasanii wanapata materials ya kazi zao kutoka kwenye jamii wanayoishi. Maneno wanayoimba hawayatoi hewani. Ni maneno yanayotumika kila leo, wala hakuna neno jipya.

Ukiongea kuhusu Pro gay songs kama unavyoziita, mbona zinapigwa kwenye radio na TV zote Tanzania. Usiniambie hujawahi kusikia "Born This Way" wa Lady Gaga labda unaongea vitu usivyokuwa na ufahamu navyo. Kwa taarifa yako hizo nyimbo watu wanasikiliza na kuzipenda tangu enzi za Mwalimu. Ukibisha labda hujui watu kama Freddy Mercury wanaimba nini.
Na wewe mtu na mipoint yako unamjibuje huyu jamaa
 
Lazima u dedi mkuu.
Hii nchi bwana!
Mbona walikua wanaendelea kupromote tamasha lao kama kawaida bila kujali kama wamepigwa kufuli na basata?

Kipindi kile Shonza amekomaa na roma masikini hadi huruma!
 
Ila ujinga ndo.umasikini wetu kwakweli
Sasa juristiction ya basata si ndani ya nhi.tu wana mamlaka ganI hasa ya kuwakatalia au kuwaruhusu kufanya show nje ya nchi??
 
Back
Top Bottom