PostGE2025 Hatimaye BBC Verify wamethibitisha ukatili uliofanywa na serikali ya Tanzania kwa wananchi wake kupitia teknolojia ya hali ya juu ya Geolocation

PostGE2025 Hatimaye BBC Verify wamethibitisha ukatili uliofanywa na serikali ya Tanzania kwa wananchi wake kupitia teknolojia ya hali ya juu ya Geolocation

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hao hata wakidhibitisha hawana meno hao yaani kiufupi ni kwamba shida zetu tupambane nazo wenyewe tusiwategemee mabeberu ambao watakuja kusaidia huku wanataka wamegewe rasilimali zetu.
Kesho yetu inajengwa na sisi wenyewe
Tusiwategemee mabeberu wakati tunawategemea wawekeze na kutuletea fedha za kigeni ( tunawaita wawekezaji)?

Hizo sound za mabeberu zimeshapitwa na wakati.

And kama unadhani hizo habari hazina impact , uliza tour operator na mahoteli arusha na zanzibar nini kinawatokea right now
 
mitano mingi sana.

Haoa nasubiri report ya CNN, yule Correspondent wa Kenya alisema anamalizia kuandaa ripoti na watanzania walishamtumia ushahidi
Ile documentary ikitoka sijui watajibuje, au ndio watakaa kimya na ku pretend kuwa haipo
 
Hao hata wakidhibitisha hawana meno hao yaani kiufupi ni kwamba shida zetu tupambane nazo wenyewe tusiwategemee mabeberu ambao watakuja kusaidia huku wanataka wamegewe rasilimali zetu.
Kesho yetu inajengwa na sisi wenyewe
Huna akili,Kuna Kesho tukiwa na ccm???
 
Back
Top Bottom