UchafuBaada ya kusikiliza vilio vya wengi, Beforward wamewawekea Tesla Cybertruck kwenye website yao, ivyo Mtanzania anaweza kununua direct kutoka kwenye simu yake.
View attachment 3566191View attachment 3566192View attachment 3566193
Hadi leo, April 2, zipo mbili tu kwenye website, zote used na zikiwa na bei zaidi ya $110,000 CIF.
Probably Yes, kwa sababu hiyo gari hapo ilipo ni South Korea.Left hand driving?
Hapo unakuwa unalinganisha samaki na ngedere Mkuu. Hiyo gari hata matangazo yake huwa naona yanapelekwa kwenye barabara ambazo Toyota Crown haiwezi kufika.Sema muundo wake, sijaupenda.
Crown athrete inamuundo bomba ukilinganisha na hii
Tajiri hanuniwiNnauhakika muundo huo angekuja nao kipanya Dunia nzima ingeuponda kuwa ni mbaya.
Ila kwakuwa ipo chini y tajiri aaah watu wanasifia.
Kuna siku linaweza kuamua kurudi kwa alielitengeneza likaishia kutumbukia baharini.Yaan bora ununue ma lc v8 linamafundi wengi apa bongo ila ilo lidude kwa mazingira yetu apa tz kuna siku litakuumbua barabaran maana kwanza umeme mwingi kuliko madude yaliopo tz,mfumo wa kompyuta unatawala adi mataili yake, bado dubwana linataka huduma za intanet ili liweze kujua lipo wapi na linataka kwenda wa na mwisho dubwana ilo linaongozwa na GPS kwa apa bongo sehemu nyingi za barabara,majengo na uchoro haupo kwenye mfumo kwaiyo ilo litasumbua tu na ayo majanga sijaweka vituo vyakuchajia
πππKuna siku linaweza kuamua kurudi kwa alielitengeneza likaishia kutumbukia baharini.
π€£π€£Kuna siku linaweza kuamua kurudi kwa alielitengeneza likaishia kutumbukia baharini.
Hii sio sedan ni truck mzee, kama hiluxSema muundo wake, sijaupenda.
Crown athrete inamuundo bomba ukilinganisha na hii