Ipo poa ila mwonekano hapo walifeliHapo unakuwa unalinganisha samaki na ngedere Mkuu. Hiyo gari hata matangazo yake huwa naona yanapelekwa kwenye barabara ambazo Toyota Crown haiwezi kufika.
Kuhusu muonekano hata mimi binafsi sijavutiwa nayo.
Hilo shape lake mkuu inazidiwa na fortunerHii sio sedan ni truck mzee, kama hilux
Labda una faida aerodynamics wise.Ipo poa ila mwonekano hapo walifeli