Hatimaye bikira wa miaka 70 atafuta mpenzi

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,325


Mwanamke wa Kiingereza ambaye amefanikiwa kuwa bikira kwa miaka 70 sasa yuko tayari kabisa kuolewa na kuondolewa ubikira wake. Bikira Pam Shaw, mwenye umri wa miaka 70 anasema bado vigezo ni vile vile linapokuja suala la kumchagua mwanaume. Kwa maneno mengine, standards zake bado zipo juu.

Pam Shaw anasema “Now’s the time. I’m ready to take the plunge for the right bloke…My standards are still very high, though. I’m hoping to bag a tall, dark and handsome millionaire.”

Shaw anasema haamini kwenye ngono kabla ya ndoa na amkuwa bize na kazi yake kama cabaret dance. Kwa sasa anajisikia yuko tayari kabisa kuolewa na kufanya ngono na mwanaume. Wajameni kazi kwenu.

Stori nzima: Pam seeks millionaire and says: I’m ready to lose my virginity at 70 | The Sun |News
 
Mh itabidi apate liafande!
 
Hizi bikira zingine ni za midomoni tu.
 
Atawapata wanaotaka kuvunja record. Imagine anampata kijana wa 28 yrs; atalia l tell u!

You never know. Vijana wenyewe wa miaka 28 si unawajua?
 
Kumbe inawezekana...sasa kwanini hakuenjoy ujana wake anamwekea nani bikra uzeeni
 
hiv kweli uyu mbibi ni bikira kwellll?
 
Aje bongo atafute mtoto wa kiswahili mwenye umri wa 22.ili ajute kutunza bikira yake.
 
bikra itakuwa imegangamala kama ngozi ya ng'ombe hiyo... kuitoboa itabidi utumie chisel and hammer
 
Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza bure, kama ujana wake akiwa mbichi kabisa vijana hawajamwona na uzee wote atamvutia nani?
 
Kweli nimekubal ule usemi "AKIBA HAIOZI",labda alitaka kupata mimba kama bikra maria.
 
Itakuwa 'brittle' sana, itavunjika kama 'kau kau'
anadhani waloaamua tuanza zikiwa 'ductile' wajinga?
 
Yaani miaka sabini atakuwa bado bikira huyo? Aliwahi kupanda farasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…