EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,325
Mwanamke wa Kiingereza ambaye amefanikiwa kuwa bikira kwa miaka 70 sasa yuko tayari kabisa kuolewa na kuondolewa ubikira wake. Bikira Pam Shaw, mwenye umri wa miaka 70 anasema bado vigezo ni vile vile linapokuja suala la kumchagua mwanaume. Kwa maneno mengine, standards zake bado zipo juu.
Pam Shaw anasema Nows the time. Im ready to take the plunge for the right bloke My standards are still very high, though. Im hoping to bag a tall, dark and handsome millionaire.
Shaw anasema haamini kwenye ngono kabla ya ndoa na amkuwa bize na kazi yake kama cabaret dance. Kwa sasa anajisikia yuko tayari kabisa kuolewa na kufanya ngono na mwanaume. Wajameni kazi kwenu.
Stori nzima: Pam seeks millionaire and says: I’m ready to lose my virginity at 70 | The Sun |News