Ndo ilikuwa imekula kwaoKwahiyo bila Azam Tv Kagera angenyongwa kabisa?
Mijitu mizima ila hata kufanya kazi haijui.
Inakera sana, mimi ni mpenzi na shabiki wa Simba ila napenda kuona haki na katika hili nasimama na Kagera Sugar hadi mwisho.Ndo ilikuwa imekula kwao
Watanzania wengi ni wajinga Sana.yaani ligi yetu haitakaa Sawa hata kidogo Kwa sababu ya akili hizi za wengi.Inakera sana, mimi ni mpenzi na shabiki wa Simba ila napenda kuona haki na katika hili nasimama na Kagera Sugar hadi mwisho.
Shabiki wengi wa Simba walitaka Kagera ashuke daraja kisa anawafunga Simba. Hoja na mawazo ya kipuuzi kabisa, nani aliwaambia Kagera haruhusiwi kufunga Simba? Nimefarijika haki yao imerudi. Ila TFF ni shirikisho bovu la kusimamia soka ulimwenguni sijapata kuona.
Ni ujinga tu kutoipenda Kagera kisa ana rekodi za kutufunga. Huo tayari ushakuwa upinzani hivyo siku wanakutana na Simba msisimko unakuwepo wa kutazama mechi.Watanzania wengi ni wajinga Sana.yaani ligi yetu haitakaa Sawa hata kidogo Kwa sababu ya akili hizi za wengi.
Kwamba wanataka kagera sugar ashuke wasiendelee kupata wapinzani kwenye ligi.
Ligi yetu ingekuwa na kagera sugar kama 10 hiv ligi yetu ingekuwa na msisimko .yaana mtu mechi ikikaribia unakuwa na mtero mpaka unataka kujikojolea Kwa kuwa hujui mshindi Nani kama ulivyo ulaya.na hapo kungekuwa patamu kweli .
Ila na wao kagera sugar sijui wanakwama wap Kwa nini wasikaze Kwa timu zote .kama wameweza kumfunga Simba Kwa nini wasiweze na kufunga timu nyingine ndogo. Halafu wanakikosi kizr sàna na wana hela.
Tanzania inabidi tubadilike
Mtu mwenye mawazo kama hayo ni mfu,Tifua Tifua wameonyesha udhaifu mkubwa sana kwakweli, yaani hata data tu kutunza wamefail? Lazima wajitafakari sanaInakera sana, mimi ni mpenzi na shabiki wa Simba ila napenda kuona haki na katika hili nasimama na Kagera Sugar hadi mwisho.
Shabiki wengi wa Simba walitaka Kagera ashuke daraja kisa anawafunga Simba. Hoja na mawazo ya kipuuzi kabisa, nani aliwaambia Kagera haruhusiwi kufunga Simba? Nimefarijika haki yao imerudi. Ila TFF ni shirikisho bovu la kusimamia soka ulimwenguni sijapata kuona.
Hawaoni aibu wale.Mtu mwenye mawazo kama hayo ni mfu,Tifua Tifua wameonyesha udhaifu mkubwa sana kwakweli, yaani hata data tu kutunza wamefail? Lazima wajitafakari sana
Si sawa kabisaHawaoni aibu wale.
Tunashukuru haki imetendeka. Haitokea TFF mbovu kama hii ya Karia.TFF kupitia bodi ya Ligi imeomba radhi kutokana na upotoshwaji wa data na kupelekea kuishusha Kagere Sugar isivyo sahihi. Leo mchana akiongea na waandishi wa habari CEO wa bodi ya Ligi Wambura ametangaza Stand United kushuka daraja na Kagera sugar kucheza play offView attachment 1111310