Hatimaye Bodi ya Ligi yaishusha Stand utd, Kagera Sugar kucheza Play Off

wasemee tuu kuwa hilo la kuishusha Kagera sugar lilikuwa ni agizo la mnazi wa simba, Karia, ikiwa ni adhabu kwa kagera sugar kwa kumfunga simba mara3 mfululizo
 
Najua sio TFUTIFU waliokuwa wameikalia kooni bali ni tumu moja yenye jina la wanyama pori fulani wa hovyo baada ya kuteswa sana na hao kagera wameamua kuwafanyia fikgisu lakini dua la kuku limemkosa mwewe
 
Ndo ilikuwa imekula kwao
Inakera sana, mimi ni mpenzi na shabiki wa Simba ila napenda kuona haki na katika hili nasimama na Kagera Sugar hadi mwisho.

Shabiki wengi wa Simba walitaka Kagera ashuke daraja kisa anawafunga Simba. Hoja na mawazo ya kipuuzi kabisa, nani aliwaambia Kagera haruhusiwi kufunga Simba? Nimefarijika haki yao imerudi. Ila TFF ni shirikisho bovu la kusimamia soka ulimwenguni sijapata kuona.
 
Play off ndio nini?

South Africa mtaenda kutia aibu tupu kwenye kufundisha kiswahili bora waachiwe manyang'au
 
Tabu iko pale pale kwa jamaa zetu wa msimbazi! Kagera hashuki na ataendelea kuwachapa
 
Kuna Mwaka Toto Africa iliwahi kumfunga Mnyama ndani nje kisha ikashuka daraja. Mwaka huu Kagera sukari kamfunga Mnyama ndani nje, nae kuna dalili atampisha Pamba. Mkubwa Malinzi chini ya uongozi wake kwa miaka 4 mfululizo, Yanga ilikuwa Bingwa iwe kwa idadi ya magoli au kwa rufaa ya Faki. Hivyo msishangae sana Kagera kushuka daraja kila zama zinamapito yake.
 
Inakera sana, mimi ni mpenzi na shabiki wa Simba ila napenda kuona haki na katika hili nasimama na Kagera Sugar hadi mwisho.

Shabiki wengi wa Simba walitaka Kagera ashuke daraja kisa anawafunga Simba. Hoja na mawazo ya kipuuzi kabisa, nani aliwaambia Kagera haruhusiwi kufunga Simba? Nimefarijika haki yao imerudi. Ila TFF ni shirikisho bovu la kusimamia soka ulimwenguni sijapata kuona.
Watanzania wengi ni wajinga Sana.yaani ligi yetu haitakaa Sawa hata kidogo Kwa sababu ya akili hizi za wengi.
Kwamba wanataka kagera sugar ashuke wasiendelee kupata wapinzani kwenye ligi.

Ligi yetu ingekuwa na kagera sugar kama 10 hiv ligi yetu ingekuwa na msisimko .yaana mtu mechi ikikaribia unakuwa na mtero mpaka unataka kujikojolea Kwa kuwa hujui mshindi Nani kama ulivyo ulaya.na hapo kungekuwa patamu kweli .

Ila na wao kagera sugar sijui wanakwama wap Kwa nini wasikaze Kwa timu zote .kama wameweza kumfunga Simba Kwa nini wasiweze na kufunga timu nyingine ndogo. Halafu wanakikosi kizr sàna na wana hela.

Tanzania inabidi tubadilike
 
Ni ujinga tu kutoipenda Kagera kisa ana rekodi za kutufunga. Huo tayari ushakuwa upinzani hivyo siku wanakutana na Simba msisimko unakuwepo wa kutazama mechi.

Siyo unaenda kuangalia mechi ya Simba na Coastal unategemea Simba ashinde 7 ndipo uone una timu nzuri. Na je Yanga nao waseme Lipuli washuke kisa inawapa upinzani!!!
 
Inakera sana, mimi ni mpenzi na shabiki wa Simba ila napenda kuona haki na katika hili nasimama na Kagera Sugar hadi mwisho.

Shabiki wengi wa Simba walitaka Kagera ashuke daraja kisa anawafunga Simba. Hoja na mawazo ya kipuuzi kabisa, nani aliwaambia Kagera haruhusiwi kufunga Simba? Nimefarijika haki yao imerudi. Ila TFF ni shirikisho bovu la kusimamia soka ulimwenguni sijapata kuona.
Mtu mwenye mawazo kama hayo ni mfu,Tifua Tifua wameonyesha udhaifu mkubwa sana kwakweli, yaani hata data tu kutunza wamefail? Lazima wajitafakari sana
 
Hovyo kabisa, watu wamekalia ofisi ambazo hata hawazitendei
 
TFF kupitia bodi ya Ligi imeomba radhi kutokana na upotoshwaji wa data na kupelekea kuishusha Kagere Sugar isivyo sahihi. Leo mchana akiongea na waandishi wa habari CEO wa bodi ya Ligi Wambura ametangaza Stand United kushuka daraja na Kagera sugar kucheza play offView attachment 1111310
Tunashukuru haki imetendeka. Haitokea TFF mbovu kama hii ya Karia.
Watanzania tunakosea wapi?
 
Back
Top Bottom