hatimaye bodi ya mikopo yatoa majina .

kikwakwa

Senior Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
105
Reaction score
12
kwa wale waliotazama taarifa ya habari star tv leo saa mbili usiku bodi wameeachia majina hayo,lakini ukiingia kwenye website yao bado hawajayaweka hivyo tusichoke kutembelea huko natumaini hadi kufikia kesho mchana watakuwa wameshaweka.
 
Acha ujuwa jaribu kutembelea post nyingine kabla hujatowa yako unatupa pressure bure
 
kwa wale waliotazama taarifa ya habari star tv leo saa mbili usiku bodi wameeachia majina hayo,lakini ukiingia kwenye website yao bado hawajayaweka hivyo tusichoke kutembelea huko natumaini hadi kufikia kesho mchana watakuwa wameshaweka.
unamaanisha hizo post nyingine hujaziona au?
 
Ndio raha ya kuwa na washiriki wa umri tofautitofauti humu JF.
 
Hahahaha... Dogo umetisha kwa kwenda kuchimbua thread za miaka iliyopita na kuzirudisha kwenye mjadala, wadau msidanganyike na hizi post za zamani
krama uko juu wewe ni mwinyi mpeku mpekuzi, mwambie jamaa aache sunege
 
Hahahahahaha kweli hiyo oil ni chafu tena ni sumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…