Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unamaanisha hizo post nyingine hujaziona au?kwa wale waliotazama taarifa ya habari star tv leo saa mbili usiku bodi wameeachia majina hayo,lakini ukiingia kwenye website yao bado hawajayaweka hivyo tusichoke kutembelea huko natumaini hadi kufikia kesho mchana watakuwa wameshaweka.
mia mia
krama uko juu wewe ni mwinyi mpeku mpekuzi, mwambie jamaa aache sunegeHahahaha... Dogo umetisha kwa kwenda kuchimbua thread za miaka iliyopita na kuzirudisha kwenye mjadala, wadau msidanganyike na hizi post za zamani
mia mia