DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Mzee Tatizo wese š¤£š¤£Kama ilivyotabiriwa gari tajwa zimepotea kabisa barabaran na Sasa vijana Ni mwendo wa RUMION, SUBARU na CROWN. Kidumu Chama cha Mapinduzi Kwa Neema hii ya fursa Kwa wote. Vijana tupewe nini Tena?
Tunauza Brevis tunanunua IST tu