DR Mambo Jambo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 11,622 Reaction score 26,005 Oct 30, 2023 #81 Michewen said: Kama ilivyotabiriwa gari tajwa zimepotea kabisa barabaran na Sasa vijana Ni mwendo wa RUMION, SUBARU na CROWN. Kidumu Chama cha Mapinduzi Kwa Neema hii ya fursa Kwa wote. Vijana tupewe nini Tena? Click to expand... Mzee Tatizo wese 🤣🤣 Tunauza Brevis tunanunua IST tu
Michewen said: Kama ilivyotabiriwa gari tajwa zimepotea kabisa barabaran na Sasa vijana Ni mwendo wa RUMION, SUBARU na CROWN. Kidumu Chama cha Mapinduzi Kwa Neema hii ya fursa Kwa wote. Vijana tupewe nini Tena? Click to expand... Mzee Tatizo wese 🤣🤣 Tunauza Brevis tunanunua IST tu
N nyongolwe JF-Expert Member Joined May 25, 2020 Posts 2,785 Reaction score 3,600 Oct 30, 2023 #82 Bujibuji Simba Nyamaume said: Mimi bado nina push Cresida. Bought 1995 Click to expand... Cressida unyama sana kama ile iliyokuwa na injini ya 2.8L ilitesa sana.Ukiona utadhani mark2 kumbe yaliyomo ni makubwa!
Bujibuji Simba Nyamaume said: Mimi bado nina push Cresida. Bought 1995 Click to expand... Cressida unyama sana kama ile iliyokuwa na injini ya 2.8L ilitesa sana.Ukiona utadhani mark2 kumbe yaliyomo ni makubwa!
Mayu JF-Expert Member Joined May 11, 2010 Posts 7,621 Reaction score 12,505 Oct 30, 2023 #83 Wale wa IST tunakutana wapi kwani? [emoji23]