Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Vijana ndio nguvu kazi ya taifa, hivyo kuna umuhimu mkubwa wa serikali kuhakikisha kuwa nguvu hiyo ndiyo inayohusiswa kwa 100% ili mipango ya nchi ikae sawia
Bunge la sasa si sawa na bunge la zamani. Bunge la miaka hiyo lilitazamwa sana na wazee huku vijana wa ovyo akiwamo mimi tulifuatilia sana sanaa na burudani
Hivi sasa, wale viburudishi wa vijana, nao wamekuwa wakishika hatamu kwenye nafasi mbalimbali za serikali, hivyo kuteka vijana kufuatilia masuala mazima ya siasa. Mfano hai ni Proffessor Jay, Mwana Falsafa (Mwana FA), Jokate Kidoti etc
Kwa sasa bunge la Tanzania ni full shamla shamla kwa vijana kwa kuwa wale waliokuww wanatupatia burudani kwa sasa tuko nao bungeni. Nimetazama bunge nikafurahia sana kumuona Keysha na Bab Tale wakileteana utani wa hapa na pale. Kilichonifurahisha zaidi ni baada ya kuona wimbo wa keysha wa Nipe zawadi ya Pendo lako ukiimbwa Bungeni
Hivi ndivyo jinsi ambavyo vijana tunataka. Bunge lisipoe, sio kila siku kujadili mambo mazito ambayo hayana solution
Kideo: