Uchaguzi 2020 Hatimaye CCM yajifuta rasmi Mtwara na Lindi

Uchaguzi 2020 Hatimaye CCM yajifuta rasmi Mtwara na Lindi

Kwa taarifa yako sasa huku Kusini tunaenda kukamillisha kazi tarehe 28/10 na kuichagua CCM
 
WanaCCM walilia Magufuli aende Mtwara na Lindi

Spika wa baraza la wawakilishi Zanzibar, Zubery Ally Maulid amesema kuna haja ya Rais wa Dk John Pombe Mgufuli kutembelea mikoa ya Lindi na Mtwara ili kusikia kilio cha wakulima juu ya kutolipwa fedha zao za korosho.

Korosho ni siasa huku kusini vigogo wa CCM walaumu watendaji serikalini kuficha ukweli pia hata wadai kundi la waandishi wa habari wanaoandamana na viongozi hao wa CCM ktk ziara mwisho wa siku taarifa za korosho hawazioni katika magazeti, radio wala TV jioni hivyo wanashangaa kwanini taarifa za korosho zimekuwa mwiko kuripotiwa na vyombo vya habari, labda kuna ajenda wasiyoifahamu...

'UPO UMUHIMU RAIS MAGUFULI KUTEMBELEA LINDI, MTWARA' - SPIKA MAULID​

 
Mkuu Kawe Alumn hiyo ni picha ya Ms€#&£ Amsterdam akiwa na kidume wake toka arabuni. Picha imekuja nililetewa ikiwa na format mbaya. Huyu TL hafai hata kidogo
 
Naomba niseme
Ccm itaenda kushinda kwa kishindo kikubwa uchaguzi huu na hoj ni kutokana tunashindana na vyama vya uchaguzi wala hawana Sera za maana.


Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom